Tunachimba visima virefu na vifupi tunapatikana Dar es salaam

saidy17

Member
Joined
Jan 19, 2017
Posts
37
Reaction score
4
Tuna chimba visima virefu na vifupi dar...karibu bei ni nafuu kabisa
Asante.[HASHTAG]#0715382607[/HASHTAG]
 
Visima virefu na vifupi.. Kuna tofauti gani hapo mkuu?
 
Nikiwa na equipment zote yaani kila kinachohitajika kuchimba kisima cha 80m maeneo ya gongolamboto zoezi la kukodi mashine na kuchimbia kisima linakubalika? je gharama ya kukodi ni kiasi gani?
 
Nikiwa na equipment zote yaani kila kinachohitajika kuchimba kisima cha 80m maeneo ya gongolamboto zoezi la kukodi mashine na kuchimbia kisima linakubalika? je gharama ya kukodi ni kiasi gani?
Mashine Gongo la mboto inafika kwa million 1.2 mwisho million 1.1
 
Visima vya maji ya kunywa vya malingi huwa mnachimba?
Nina shida ya kuchimba kisima kifupi cha malingi chenye urefu wa mita 30 hapa Dsm, ni sehemu laini yenye chemi chemi kwa hiyo sioni sababu ya kufanya survey. Gharama ya ufundi, malingi na (gravels za kusafishia maji kama ni lazima) jumla ni bei gani?
 
Kama upo serious nikuunganishe na jamaa mmoja hivi alinichimbia kwa bei ya kawaida kabisa.....yuko smart sana.
 
Kama upo serious nikuunganishe na jamaa mmoja hivi alinichimbia kwa bei ya kawaida kabisa.....yuko smart sana.
Tayari nimeshachimba mkuu, nitakutafuta nitakapohitaji kuchimba kingine; vipi kuna uwezekano wa kuongeza urefu kisima kirefu kilichopungua/kukauka maji? urefu wa sasa ni mita 100 na 4.5 inch PVC casing, nilihitaji ziongezeke kama mita 30
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…