Tunachimba visima vya kisasa

Joined
Dec 20, 2016
Posts
96
Reaction score
115
bavi drilling tunafanya huduma zifuatazo ndani ya Dar Es Salaam na mikoa yote kufanya geophysical survey(ground water survey ) kujua kama site yako ina maji. Tunachimba kisima kwa machine zetu za kisasa hummer pamoja na kuweka pvc. Tunafunga pump za kisima pamoja na kufanya service za visima Tuko salasala dsm wasiliana nasi 0657710078 0768526792
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…