Tunacho hitaji ni utaalamu wa mpira .

Steven Nguma

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2016
Posts
1,074
Reaction score
1,147
Mechi za Simba na Yanga huwa zinakosaga mchezo wa kiufundi zaidi ni kukamiana,tuombe viongozi wa timu hizi wabadilike wazio ngoze timu hizi ktk weledi wa mpira badala ya mambo ya kizamani,ukiangalia mechi kubwa za South Afrika au Zambia unaona ufundi wa mpira sio hii butua butua ya hapa, mwisho mmoja akifungwa zianaanza lawama mara huyu kauza mechi basi ilimradi tu kuharibu starehe ya mpira.
 
Zamani sio siku hizi, mpira wa ufundi unachezwa sana tu, fuatilia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…