Tunachora ramani za nyumba za kisasa za aina zote, tunapatikana Mwanza / Kanda ya ziwa

THUON

Senior Member
Joined
Sep 29, 2013
Posts
112
Reaction score
58
Habari njema kwa wakazi wa mwanza na kanda ya ziwa kwa ujumla,tunachora ramani za nyumba za kila aina kulingana na mahitaji ya mteja,gharama zetu ni nafuu sana.

We offer;
1. Site plan
2. Floor plan
3. Roof plan
4. Building cross-section
5. Elevations
6. Sewage system
7.structural design and detailing

Pia tunatoa na huduma za kusimamia site (site supervision).

Ushauri ni bure kabisa, kwa mawasiliano piga 0654082766 / 0743189135 /0622045213.

Karibuni sana tujenge.
Ahsante.
 
Kama kweli unataka wateja wakutafute jaribu kuweka hata picha ya kazi zako tuzitafakari na kuwatafuta.
 
 

Attachments

  • 1448462346623.jpg
    39.9 KB · Views: 928
  • 1448462400427.jpg
    78 KB · Views: 618
  • 1448462462409.jpg
    70.1 KB · Views: 576
 
 
 

Attachments

  • 1448641202371.jpg
    55 KB · Views: 359
mbona zinawekwa za ulaya ulaya tu hebu pigilia za kibongo ulizochora watu wamechi na mifumo ya ujenzi wa nchini mwao
 
mbona zinawekwa za ulaya ulaya tu hebu pigilia za kibongo ulizochora watu wamechi na mifumo ya ujenzi wa nchini mwao

Kuna program nyingi za kuchorea na kila moja ina final product yake kwenye elevation kutegemeana na uwezo wa mchoraji kuremba.
Mara nyingi huwa hatupost plan ya jengo maana ndo ilipo ubunifu.
Karibu sana.
 

Attachments

  • 1448806181954.jpg
    34.3 KB · Views: 381
  • 1448806221896.jpg
    22.6 KB · Views: 327
Tawi la MOSHI na DODOMA

Soon Litafunguliwa

Chini ya Kampuni ya ONE2ONE FOCUS

ONE 2 ONE FOCUS.CO LTD ni Kampuni ya Kizalendo ,iliyosajiliwa na BRELA kwa Hati Namba ya Usajili 127281 na TIN Namba :
131-202-040.

Kampuni inajishughulisha na:
1.Ujenzi wa Majengo Mbalimbali.
2.Upimaji wa Viwanja
3.Utengenezaji wa Ramani.
4.Uuzaji wa Viwanja.

Kwa Ujenzi wa Nyumba Tunakujengea na Kufanya Finishing Kuanzia Hatua ya Awali Mpaka Mwisho wa Ujenzi.

Pia Katika Ujenzi Huo Tunakuwekea:-
1.Uwiano Mzuri wa Cements
2.Nondo za mm 12 ,mm 16 na mm 24 za Chuma Kulingana na Aina ya Ujenzi.
3.Mbao imara i.e Mikaratus,Saiprus
4.Mabati imara Kutoka Nje ya Nchi
5.Tiles Daraja la Kwanza.
6.Tunaweka Gypsum
7.Tunaweka Fremu,Milango
8.Milango ya Mbele na Nyuma Kuwekewa Grill.
9.Tunaweka Fitting za Makabati,Mifumo ya Maji,Makabati ya Jioni.
10.Wiring ya Umeme.

Tupigie kwa:-
0715-908698(Whatsapp/Call)
0759-538688(Call)

OMARI RAJABU
MARKETING OFFICER
ONE2ONE FOCUS
MAKUMBUSHO COMPLEX
DAR-ES-SALAAM

Pia Tuna Ofisi Jiji la Mwanza
BUZURUGA COMPLEX
MWANZA

Mkoa wa Arusha
NAMVUA PLAZA
Floor ya 4

Kwa Majengo Bora,Imara kwa Gharama Nafuu Usisite Kutupigia

0715-908698(Call/Whatsapp)
0759-538688(Call Only)
0629-955992(Halotel Call)

NB:Tunajenga Mkoa wowote
 
Karibuni sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…