dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Sisi Wachaga waishio DSM tumeweka kikao na kuwaita wazazi wake na binti waje wa tueleze kama wanafurahishwa na anachokifanya Mwijaku kwa kwa bint Alice
Kitendo cha kumuweka bondi bint yetu ni kwamba amemchoka na hamuhitaji ni kheri amtoe kwa msemaji wa yanga bwana ally kamwe
Ukiachia hilo la kumuweka bint yetu bondi pia hatufurahishwi na vitendo vyake anavyo vifanya mbele ya jamii bila kuogopa akizingizia kuwa ni maokoto Anatafuta sasa tu nasema tumechoka na ss wajomba na wana ukoo wote tumekubali hiyo nfoa ife mara moja
"bint anatudhalilisha San na huyo mpuuz wa kigoma mshamba mkubwa"
Nukuu ya Mama mdogo
PIA SOMA
- Mwijaku vipi ameshamkabidhi Ali Kamwe Mke wake haaa!