Jamani kwa mwenye namba ya simu ya mkurugenzi wa bodi ya mikopo anisaidie niweze kufanya mawasiliano nae kupata confirmation, mwanzoni tunaripoti chuo tulipata rumours za kuongezewa ada lakini tulivoenda kwa loan officer akataa na kusema sio kweli, tukawa wavumilivu juzi majina ya ada yamekuja yakiwa na ada yenye ongezeko ndipo tukaamua kumfuata loan officer kutubalishia kutoka kile kiwango cha zamani cha ada na kutuandikia hiki kipya lakini bado anakataa anadai hayo majina yamekuja kimakosa hivo ada tunayolipiwa ni ile ile ya zamani!!!!
JAMANI NAOMBENI MSAADA WENU ANAEWEZA KUA NA HIYO NAMBA ANISAIDIE!!!!
JAMANI NAOMBENI MSAADA WENU ANAEWEZA KUA NA HIYO NAMBA ANISAIDIE!!!!