Tunadhurumiwa haki yetu

victer

Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
58
Reaction score
9
Jamani kwa mwenye namba ya simu ya mkurugenzi wa bodi ya mikopo anisaidie niweze kufanya mawasiliano nae kupata confirmation, mwanzoni tunaripoti chuo tulipata rumours za kuongezewa ada lakini tulivoenda kwa loan officer akataa na kusema sio kweli, tukawa wavumilivu juzi majina ya ada yamekuja yakiwa na ada yenye ongezeko ndipo tukaamua kumfuata loan officer kutubalishia kutoka kile kiwango cha zamani cha ada na kutuandikia hiki kipya lakini bado anakataa anadai hayo majina yamekuja kimakosa hivo ada tunayolipiwa ni ile ile ya zamani!!!!
JAMANI NAOMBENI MSAADA WENU ANAEWEZA KUA NA HIYO NAMBA ANISAIDIE!!!!

 
Poleni sana. 0713317242 asipopatikana niambie nikutumie nyingine. chuo gan hicho?
 
Duh! Nchi ina taabu hii, yaani kupiga kila sehemu. Msikubali mpaka hii issue ipate ufafanuzi unaohitajika.
 
Asiwasumbue, mbona na sisi chuoni kwetu tumeongezewa na hatujaambiwa taarifa zilikuwa za uongo?
 
poleni sana.ni lazima mdai haki yenu maana hizo ni kodi za wazazi wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…