5th Estate
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 310
- 273
Hii tabia ya kuwadharau Wanawake mnaitoa wapi?,hata kama unamdharau Mkeo muheshimu basi Mama yako mzazi.Basi tukuite wewe ndiye mchambua mchele na mkuna nazi maana kukuna nazi kwenu ni kawaida sana.
Nakuona mama mdogo unapigania haki yakoHii tabia ya kuwadharau Wanawake mnaitoa wapi?,hata kama unamdharau Mkeo muheshimu basi Mama yako mzazi.
Una utoto mwingi sanaNakuona mama mdogo unapigania haki yako
Vijembe kama taarabu, tumepotea njiaNaam sasa ndio wakati wa kuidhihirishia dunia kuwa Wanawake wanaweza au hawawezi wakipewa.
Mihimili miwili mikuu kati ya mitatu kuongozwa na wanawake, huku wizara nyeti kabisa takribani 8 ikiwemo ULINZI kuwa chini ya wanawake.
Jee tutaweza kuidhihirishia dunia kuwa Tanzania ni TAIFA LA KIKE la mfano bora? Au tunaenda kufeli na kubaki kuwa taifa la mapambio, unafiki na vijembe kama vya vibarazani watu wakichambua Mchele na kukuna nazi?
Tunawapa six month on probation
Haya kakune nazi basiAngalau huu ndio uwezo wako
Nielekeze Mama yako alipo nikakune naeHaya kakune nazi basi
Wachana mambo ya wazazi nq kama unaelekea huko utakimbia weweNielekeze Mama yako alipo nikakune nae
UVCCM nao wana akili mbovu kulikoHao ni bavicha wasio na akili kabisa kabisa!
Ukitaka kujua hilo angalia mtu kama kigogo ndio alikuwa roli modo wao
Basi tuishie hapa,maana kwa matusi sikuwezi.Wachana mambo ya wazazi nq kama unaelekea huko utakimbia wewe
Acha ubaguzi wa kijinsiaNaam sasa ndio wakati wa kuidhihirishia dunia kuwa Wanawake wanaweza au hawawezi wakipewa.
Mihimili miwili mikuu kati ya mitatu kuongozwa na wanawake, huku wizara nyeti kabisa takribani 8 ikiwemo ULINZI kuwa chini ya wanawake.
Jee tutaweza kuidhihirishia dunia kuwa Tanzania ni TAIFA LA KIKE la mfano bora? Au tunaenda kufeli na kubaki kuwa taifa la mapambio, unafiki na vijembe kama vya vibarazani watu wakichambua Mchele na kukuna nazi?
Tunawapa six month on probation
Ni hatari zaidi wanawake kushika mihimili yote kwa katiba mbovu kama hii, nchi inawze, kutumbukia katika majanga kuliko yale ya awamu ya 5.Naam sasa ndio wakati wa kuidhihirishia dunia kuwa Wanawake wanaweza au hawawezi wakipewa.
Mihimili miwili mikuu kati ya mitatu kuongozwa na wanawake, huku wizara nyeti kabisa takribani 8 ikiwemo ULINZI kuwa chini ya wanawake.
Jee tutaweza kuidhihirishia dunia kuwa Tanzania ni TAIFA LA KIKE la mfano bora? Au tunaenda kufeli na kubaki kuwa taifa la mapambio, unafiki na vijembe kama vya vibarazani watu wakichambua Mchele na kukuna nazi?
Tunawapa six month on probation
TULIA: Tutaikosoa serikali kwa unyenyekevu, kwa sababu Rais ni mkuu wa nchi, Amiri jeshi mkuu, Tutaikosoa kwa unyenyekevu!Huyu anayesema "kazi ya mhimili wa Bunge sio kubishana na serikali, maana serikali ni kubwa kuliko bunge"?
Kama unamaanisha huyo basi you need your head examined!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakuona mama mdogo unapigania haki yako
Hakika tunaenda kudhihirisha kwamba inawezekana. Sioni shida kuwa na taifa linaloongozwa na wanawake hasa linapokuja suala la professionalism. Wenye fani zao wana uwezo mkubwa sina hofu na hilo. Shida inaweza kuwa kwenye siasa ambapo sura au urafiki na mambo mengine yanaweza kuwa factor ya mtu kuchaguliwa. Hiyo hata kwa wanaume ina count. Wataweza tuwape supportNaam sasa ndio wakati wa kuidhihirishia dunia kuwa Wanawake wanaweza au hawawezi wakipewa.
Mihimili miwili mikuu kati ya mitatu kuongozwa na wanawake, huku wizara nyeti kabisa takribani 8 ikiwemo ULINZI kuwa chini ya wanawake.
Jee tutaweza kuidhihirishia dunia kuwa Tanzania ni TAIFA LA KIKE la mfano bora? Au tunaenda kufeli na kubaki kuwa taifa la mapambio, unafiki na vijembe kama vya vibarazani watu wakichambua Mchele na kukuna nazi?
Tunawapa six month on probation
Siyo mbovu tu nali ni masaloUVCCM nao wana akili mbovu kuliko
Hii itakuwa ni nchi ya wajivuniBado wakuu wa wilaya na mikoa, kote wanawake