Tunaelekea kuwa taifa la kike la mfano duniani

Bonge la ngoma 👇👇👇
🎵🎧Strength of a Woman - Shaggy💪🇹🇿👍
 
na bado mkeo anaongoza familia. wewe kazi yako ni kutoa hela
Mimi ndiye kichwa/mtawala wa familia na kiongozi wa kila kitu, akifuatiwa yeye. Anafuata amri yangu katika kuijenga familia imara.
 
Feminist bullshit na udini.
 
mifano ya wanawake waliofanya vizuri kwenye uongozi wa juu kabisa nchini mwao tunao, sijui kwa nini hatuwaamini wa mama wetu,
magreth thatcher,angel merkel, Magdalena Andersson, Katrin Jakobsdottir,sanna marin(binti mdogo kabisa alikuwa na miaka 34 tu wakati anachaguliwa kuwa waziri mkuu wa finland. hebu tuwaamini tuwaunge mkono naamini watafanya vizuri lakini pia tukumbuke wanaongozwa na katiba,sheria na kanuni pia wana wasaidizi lukuki ambao ni wataalam. hebu muangalie christine lagard alivyodumu kwenye nafasi yake. TUWAPENI NAFASI, TUSIONYESHE KUTOWAAMINI ASUBUHI HII
 
Wala tusifiche fiche... tunawasemanga Wachaga eti ni wezi, wakati ukweli wenyewe ndo huo... MITANZANIA YOTE NI MIJIZI!

Wachaga wanahukumiwa kwa sababu ya wivu tu kutokana na wao kupata fursa ya kuwemo ofisi za kuweza kuiba! Lakini hapo unapomweka Mchaga, hata ukimweka Mmakonde, Mpogogolo au Mmatumbi kama mimi, na lenyewe LITAIBA TU!

Ukianzisha biashara, ukamweka hata ndugu yako wa damu, na lenyewe LITAKUIBIA TU!!

Halafu hapo nilipo-highlight! Asiyewafahamu Watanzania anaweza kudhani umefanya utani, kumbe ndo uhalisia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…