Dr Mabuga 30
JF-Expert Member
- May 8, 2021
- 319
- 331
MwNaam sasa ndio wakati wa kuidhihirishia dunia kuwa Wanawake wanaweza au hawawezi wakipewa.
Mihimili miwili mikuu kati ya mitatu kuongozwa na wanawake, huku wizara nyeti kabisa takribani 8 ikiwemo ULINZI kuwa chini ya wanawake.
Jee tutaweza kuidhihirishia dunia kuwa Tanzania ni TAIFA LA KIKE la mfano bora? Au tunaenda kufeli na kubaki kuwa taifa la mapambio, unafiki na vijembe kama vya vibarazani watu wakichambua Mchele na kukuna nazi?
Tunawapa six month on probation
Ni kweli, taasisi kama zipi ambazo zamani hazikuongozwa nao? Kila siku ni kauli hiyo hiyo tu, labda useme sasa hivi kutoa Rais na baadhi ya wakuu wa wizara.Impact iko wapi? Huoni saizi wanaongoza taasisi mbalimbali za kiutendaji hadi kisiasa?
Huoni wanajiamini.sasa kutafuta na kumiliki mali nk?
Muda wa kusoma utopolo newspaper mpaka mwisho nautoa wapi.Umeelewa nilichoandika, au umekurupuka tu?! Umesoma hapo nilipowa-tag watu? VERY STUPID
Hizi discussion siyo nzuri...Tunajenga nchi moja ya wanaume na wanawake bila kujali nani yupo...Kila raia atazamwe kuwa na haki sawa na mwenzakeWanaume sasa tumegeuziwa kibao,tumekuwa wapika vyapati jikoni
Mbona Norway nchi imeongozwa na wanawake kwa muda mrefu na ni nchi bora duniani?Ni kweli, taasisi kama zipi ambazo zamani hazikuongozwa nao? Kila siku ni kauli hiyo hiyo tu, labda useme sasa hivi kutoa Rais na baadhi ya wakuu wa wizara.
Ila bado haikupi ruhusa ya kusema eti tunaburuzwa, unasahau Urais ni taasisi? Angalia wapo wanawake wangapi?
Haijalishi hali gani, wanaume ni viongozi na tumepewa mamlaka kimaandiko(kama unaamini Mungu), tumepewa ruhusa ya kutoa amri na kumtawala mwanamke kwa MASLAHI ya familia, mpaka ngazi ya taifa.
Haki sawa si jambo la kushabikia shabikia hovyo hovyo, jua unajimaliza mwenyewe na wanao wa kiume. Take care nigga!
Waacha kina mama wafanye kazi kumbuka wanasema wakiwezeshwa wanaweza. Pls usifanye njama wakabeba mimba wote na ofisi zikafungwa.Naam sasa ndio wakati wa kuidhihirishia dunia kuwa Wanawake wanaweza au hawawezi wakipewa.
Mihimili miwili mikuu kati ya mitatu kuongozwa na wanawake, huku wizara nyeti kabisa takribani 8 ikiwemo ULINZI kuwa chini ya wanawake.
Jee tutaweza kuidhihirishia dunia kuwa Tanzania ni TAIFA LA KIKE la mfano bora? Au tunaenda kufeli na kubaki kuwa taifa la mapambio, unafiki na vijembe kama vya vibarazani watu wakichambua Mchele na kukuna nazi?
Tunawapa six month on probation
TAIFA LA KIKE LA MFANO!DAH,NIMEIPENDA HII,WANAUME MPO?KWA HILI,SIJIVUNII KUWA MTANZANIA.HIVI HATA MAUMBILE HAYATUAMBII KWAMBA MWANAMKE HAWEZI KUMTALA MWANAMME AU KUMUONGOZA MWANAUME?WHAT HAS BECOME OF US.MUNGU MWENYEWE ALIONA MWANAMKE HAWEZI KUONGOZA HATA FAMILIA,SEMBUSE NCHI.TUMEPOTOKA KWELI KWELI.YAANI THE SENSE OF RIGHT AND WRONG IS NO LONGER THERE.SHETANI AMEPOFUSHA KABISA FIKRA ZETU,VERY SAD.YAANI WENZENU WANA AGENDA ZA SIRI NINYI MNAKENUA TU.SHETANI HAJAMALIZA KILE ALICHONFANYIA MWANADAMU KATIKA BUSTANI YA EDEN THROUGH EVE,BADO ANAENDELEZA MKAKATI WAKE,NA SISI BILA KUJUA TUNAKENUA TU.HOVYO KABISA.Naam sasa ndio wakati wa kuidhihirishia dunia kuwa Wanawake wanaweza au hawawezi wakipewa.
Mihimili miwili mikuu kati ya mitatu kuongozwa na wanawake, huku wizara nyeti kabisa takribani 8 ikiwemo ULINZI kuwa chini ya wanawake.
Jee tutaweza kuidhihirishia dunia kuwa Tanzania ni TAIFA LA KIKE la mfano bora? Au tunaenda kufeli na kubaki kuwa taifa la mapambio, unafiki na vijembe kama vya vibarazani watu wakichambua Mchele na kukuna nazi?
Tunawapa six month on probation
Hayo maneno ya mwisho sidhani kama yameongeza thamani ya mchango wako...Mengine tupo pamoja kabisa...Kwani lilivokua la kiume kwa miaka 60 tangu uhuru wananchi tumepata faida gani? Achataifa liongozwe na yeyote mradi kila mwananchi anakula jasho lake,hakuna anekula uume au uke wa mtu hapa
🤣🤣🤣 watanzania mna maneno nyieWaacha kina mama wafanye kazi kumbuka wanasema wakiwezeshwa wanaweza. Pls usifanye njama wakabeba mimba wote na ofisi zikafungwa.
Haihitaji kusubiri ili kujua mwanamke yuko Duniani kuongoza mwili wake tu haya mengine tamaa za wanadamu tuNaam sasa ndio wakati wa kuidhihirishia dunia kuwa Wanawake wanaweza au hawawezi wakipewa.
Mihimili miwili mikuu kati ya mitatu kuongozwa na wanawake, huku wizara nyeti kabisa takribani 8 ikiwemo ULINZI kuwa chini ya wanawake.
Jee tutaweza kuidhihirishia dunia kuwa Tanzania ni TAIFA LA KIKE la mfano bora? Au tunaenda kufeli na kubaki kuwa taifa la mapambio, unafiki na vijembe kama vya vibarazani watu wakichambua Mchele na kukuna nazi?
Tunawapa six month on probation
Right!Mbona Norway nchi imeongozwa na wanawake kwa muda mrefu na ni nchi bora duniani?
Mwanaume hapunguzwi uanamume wake kwakuwa mwanamke anamwongoza....Debora kwenye bible aliongoza jeshi la Israel na likashinda...tuache uwoga tujiamini tu basi
Kumbe una-comment bila kusoma, sio?Muda wa kusoma utopolo newspaper mpaka mwisho nautoa wapi.
Siyo ubaguzi. Purpose ya wanawake ni kuondoa ushoga,siyo kwamba wao wawe chanzo cha ushoga.
Sasa hapa tunaona nini? Kama mbele moni mambo.
Tuseme nini? Watu wanataka kulinda hela zao chafu,utastukia umewekwa kwenye kiroba umetupwa baharini.
Umeona yule jamaa alivyoandika jana. Anasema kama huamini kuna mashoga nenda kamuulize Aziz Abdul,sijui nani yule amemuita. Kwa hiyo anakupa references.
Inapofika hapo kwamba mashoga unawatazama with equanimity,hiyo sasa ni kasheshe.
Awamu ya Pili aliwagombeza mashoga. Sasa unataka kujifanya mjanja kuliko Mwinyi,unachekacheka
na mashoga.