Pre GE2025 Tunaelekea wapi?

Pre GE2025 Tunaelekea wapi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Akilindogosana

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2020
Posts
4,303
Reaction score
12,679
JIBU

Tabia ya kuharibu uchaguzi, kuiba kura na tabia ya kutekana, italeta umafia wa kuuana, mgawanyiko katika nchi na vurugu za kiitikadi miongoni mwa raia, kisha vurugu za kiitikadi miongoni mwa askari na mwishoni nchi itaingia kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe hasa kwa itikadi za kisiasa kama genocide au civil war.

Muda utazungumza.
 
Hatujafika hapa bahati mbaya mbegu hii imepandwa tangu 2016 sasa imememea na inaelekea kukomaa soon watu watapata mavuno yao.

Hii mbegu tulisema sio nzuri ila mkulima wakasema hapokei ushauri ni chuma na tingatinga.
Duh!
 
Back
Top Bottom