Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
Hatari mnoTaratibu Taratibu, sumu inazidi kuenea Taifa la Tanganyika.. 🤨🤨🤨
Duh!Hatujafika hapa bahati mbaya mbegu hii imepandwa tangu 2016 sasa imememea na inaelekea kukomaa soon watu watapata mavuno yao.
Hii mbegu tulisema sio nzuri ila mkulima wakasema hapokei ushauri ni chuma na tingatinga.
Ndiko tunakopelekwa na WATAWALA, wanaojiona Nchi hii ni yao peke yao!
Hatari mno!Mungu aepushie mbali haya majanga. Erythrocyte
Ccm wanawaza kukaa madarakani. Ukiongelea ukosefu wa ajira wanakushughulikiaHatari mno!