Tunaenda AFCON 2019: Taifa stars hushinda mechi zenye hamasa ndogo

pinno

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
1,213
Reaction score
1,229
Ni hayo tu !

Watanzania wakiwa na hamasa kubwa na mechi,huwa tunapigwa, Mech ya Cape verde ya kwanza na ya Lesotho hii na nyingine nyingi zinathibitisha


Tunaenda Afcon sababu,Mechi dhidi Uganda itachezwa ktk mazingira ya kukatisha tamaa sana

Matumain ya wabongo hayatakuwepo, infact wengi wameshakata tamaa as of now.

Hii huwa inakuwaga chachu kubwa sana kwa TAIFA stars

Hivyo tutawapiga Uganda,tutapa point 8

Cape verde na Lesotho wata droo na kuwa na point 5 na 6 respectively
 
Kuonyesha umuhimu, tff waliipeleka mechi ya kwanza ya lesotho chamazi kwa azam,binafsi hata sikujua kam kuna mechi. Leo zile point 2 zinatugharimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…