Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,453
- 111,795
Kwanini hii isiwe tabia endelevu? Mimi mpaka sasa naishi na ule utaratibu wa wakati wa Covid ndivyo binadamu anavyotakiwa kuishi, tangawizi, vitunguu vikali, pilipili, limao kwa wingi, mchaichai, sanitizer kunawa mikono kwa sabuni etc.Hujaona mitaro ilivyozibuliwa nchi nzima? Una macho huoni wewe?
Hii ni crisis na kwa kawaida huwa "zina utaratibu wake maalum". Vipi brother!Kwanini hii isiwe tabia endelevu? Mimi mpaka sasa naishi na ule utaratibu wa wakati wa Covid ndivyo binadamu anavyotakiwa kuishi, tangawizi, vitunguu vikali, pilipili, limao kwa wingi, mchaichai, sanitizer kunawa mikono kwa sabuni etc.
Usafi unaofanyika sasa inapaswa kuwa ndio tabia endelevu na local government wabanwe katika hili.
Kwenye kata yangu tuna barabara za lami, sasa ile mitaro imenguliwa zile mifuniko yake kila mtu asafishe mbele ya nyumba yake matope na michanga iliyotoka kwa mtaa mmoja tu unapata jibu maafa yetu mengine kumbe yanatokana na ukosefu wa akili tu, tena ilitakiwa ipitishwe by law nyumba zote ni lazima ziwe na ngata za kuvuna maji kuhifazi kwenye simtank au yachimbiwe matank ya chini ya ardhi unapunguza sana flooding za mitaani.
Changamoto ni kwetu sisi walipa kodi,maana hizo bilioni 703 usifikiri kuwa zitarudi,zitapigwa na watu.Wakiona kimya na mwakani wanaweza wakatabiri kitu kingine ambacho hakitatokea,ili wapige hela.Binafsi naona sawa tu wakitabiri halafu isije kuliko kinyume chake, wakae kimya halafu ije.
Watarudisha hizo pesaWahuni washapiga 700B ,Dec utaona Ma LC300 road na Maghorofa yatakayojengwa Mbweni JKT kama Uyoga.
Pesa zirudishwaje,wakati ni suala la kuziandikia tu.CAG akuenda anakabidhiwa ripoti.Watarudisha hizo pesa
Mkuu unamkumbuka NUHUNani alaumiwe? TMA au wanasiasa kututia uwoga?
Hii sisi ile billion 730 ilivotoka kwa spidi ya ngiri mkia juu nilijua tu ni upigaji.Nani alaumiwe? TMA au wanasiasa kututia uwoga?
Nani alaumiwe? TMA au wanasiasa kututia uwoga?
Mkuu hizo B sijaziongelea, mimi nimeongelea tu utabiri. Kuhusu pesa, wizi ni tabia chafu sana.Changamoto ni kwetu sisi walipa kodi,maana hizo bilioni 703 usifikiri kuwa zitarudi,zitapigwa na watu.Wakiona kimya na mwakani wanaweza wakatabiri kitu kingine ambacho hakitatokea,ili wapige hela.
Wabongo tunajuana,hii dhana ya KULENI KULINGANA NA UREFU WA KAMBA ZENU,inatumiwa visivyo, yawezekana mtoa kauli hakumaanisha inavyotafsiriwa na baadhi ya watendaji wasiokua waadilifu.
Kuna mdau kaniambia kuwa stock ya chakula aliyoiweka inakaribia kuisha, na pesa aliyoitumia kufanya manunuzi aliikopa akitegemea mvua zikinyesha atakuwa na kisi gizio cha mvua maana mishe mishe zitakuwa zimesimama.Nani alaumiwe? TMA au wanasiasa kututia uwoga?
Mkuu unakaa jaba?, sehemu gani?, niliwahi kuwa na manzi maeneo ya huko.Si jaba angalau miundombinu ya mitaro na mifereji ya barabarani imerekebishwa. Bongo kila kitu ni fursa.
Na watabiri ndo wamepelekea kupangwa kwa bilioni 703 na ninavyoandika hivi zinatumika.Mkuu hizo B sijaziongelea, mimi nimeongelea tu utabiri. Kuhusu pesa, wizi ni tabia chafu sana.
TypoMkuu unakaa jaba?, sehemu gani?, niliwahi kuwa na manzi maeneo ya huko.