Tunaenda nusu ya October, El Nino hamna

Wametuharibia mno biashara hasa sisi tunaofata maonesho.mfano maonesho ya madini geita watu tumepata hasara sana yaani hakuna watu kabisa
Kuna wewe sasa na kuna mimi nauza icecream nimeshindwa kuagiza vijana nikiwaza mvua zikianza miez hii nitapata shida kuwarudisha na nisipowarudisha nitawalisha nini. Yaani wanivurugia mipango yangu yote, wawe wanajihakikishia hizo habari zao kabla hawajazileta kwetu jman, wengine tutoke ndio tule sio kama wao wanashinda kwa viyoyozi mwisho wa mwezi wanaenda kutega mikono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…