chadcreation944
Member
- Dec 17, 2018
- 5
- 3
Viwanja viko maeneo gani vinapatikana wapi ama sehemu gani kwa apa Tanzania?MKOPO WA VIWANJA. 0652873212
2,500,000/=
ADVANCE :500,000/=
UKUBWA Mita 25*20 =(sqm500)
MALIPO KWA MWEZI 83,000/=
MIEZI 24
HUDUMA :MAJI, UMEME, SHULE, ZIPO.
*KIBAHA--BAGAMOYO--MKURANGA
CHAD CREATION CO LTD
0652873212 kwa maelezo zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
KIBAHA, eneo la galagaza umbali wa km 5 toka barabara ya morogoro unaingilia kibaha kwa Mfipa upande wa kulia ukitokea dar es salaam NA kwa Bagamoyo eneo la kilomo km 2 toka barabara ya Dar Bagamoyo, pia Dondwe ipo mpakani mwa wilaya ya Mkuranga na Ilala, unaweza kupitia Chanika au Mvuti ukitokea Mbagala kwa maswali zaidi 0652873212Viwanja viko maeneo gani vinapatikana wapi ama sehemu gani kwa apa Tanzania?
Sent using Jamii Forums mobile app
InterestingKIBAHA, eneo la galagaza umbali wa km 5 toka barabara ya morogoro unaingilia kibaha kwa Mfipa upande wa kulia ukitokea dar es salaam NA kwa Bagamoyo eneo la kilomo km 2 toka barabara ya Dar Bagamoyo, pia Dondwe ipo mpakani mwa wilaya ya Mkuranga na Ilala, unaweza kupitia Chanika au Mvuti ukitokea Mbagala kwa maswali zaidi 0652873212
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hongera kwa Ufafanuzi Murua kabisaaa, yani ambae hajaelewa hapa huyo amerogwa si bure!!!KIBAHA, eneo la galagaza umbali wa km 5 toka barabara ya morogoro unaingilia kibaha kwa Mfipa upande wa kulia ukitokea dar es salaam NA kwa Bagamoyo eneo la kilomo km 2 toka barabara ya Dar Bagamoyo, pia Dondwe ipo mpakani mwa wilaya ya Mkuranga na Ilala, unaweza kupitia Chanika au Mvuti ukitokea Mbagala kwa maswali zaidi 0652873212
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuja mtu aseme nasikia harufu ya kipigwa hapaMkuu hongera kwa Ufafanuzi Murua kabisaaa, yani ambae hajaelewa hapa huyo amerogwa si bure!!!
Mkuu umemuelewa Jamaa kwanza kwa Udadavuzi wake?Atakuja mtu aseme nasikia harufu ya kipigwa hapa