Tunafahamu nini kuhusu Sikorsky S-76B: Helikopta iliyomuua Kobe Bryant

Tunafahamu nini kuhusu Sikorsky S-76B: Helikopta iliyomuua Kobe Bryant

Burnaboy

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2019
Posts
1,070
Reaction score
1,439
Kobe Bryant amekuwa akitumia helikopta ya aina ya Sikorsky S-76B tangu alipokuwa akichezea Los Angeles Lakers. Ndio iliyomuua.

Mamlaka ya kufuatilia shughuli za anga inasema helikopta hiyo ilitumika mara kadhaa wiki chache zilizopita.

Helikopta imetengenezwa na kampuni ya Sikorsky, ambayo ni kampuni tanzu ya kampuni ya Lockheed Martin, ambayo vilevile hutengeneza magari ya kijeshi.

Kampuni hii inauza helikopta za Sikorsky S-76 kwa watu mbalimbali maarufu kwa ajili ya usafiri binafsi ambapo hadi sasa zinatumika kwa wateja maarufu 178. Vilevile hizi helikopta hutumika kwa shughuli za uokoaji. Bei yake kwa helikopta inayoweza kubeba watu 12 ni kama $13 million.

Kwa mujibu wa jarida la Business Insider, helikopta za Sikorsky S-76 zina rekodi nzuri. Toleo la helikopta iliyomuua Kobe lilitengenezwa 1991.

======
What We Know About Kobe Bryant’s Helicopter

Former Los Angeles Lakers star Kobe Bryant died on Sunday morning when his private helicopter crashed in Calabasas, California. The chopper reportedly caught fire and collided into a hillside, killing all nine people on board, including Bryant’s 13-year-old daughter Gianna. The crash ignited a brush fire at the scene, which made it difficult for emergency personnel to respond.

The Federal Aviation Administration and the National Transportation Safety Board are investigating the cause of the crash, which is currently unknown. Weather reports indicate that conditions were foggy; it’s unclear whether the fog contributed to the crash, but the Los Angeles International Airport had delayed flights over the weekend due to poor visibility.

Update, 8:30 p.m.: TMZ reports that police sources and flight tracker data further suggest that heavy fog could have played a role in the crash:
L.A. weather was extremely foggy Sunday morning, and law enforcement sources tell us even LAPD air support was grounded because of it. Flight tracker data shows Kobe’s chopper appeared to first encounter weather issues as it was above the L.A. Zoo. It circled that area at least 6 times at a very low altitude – around 875 feet – perhaps waiting for the fog to clear. We know the pilot contacted the control tower at Burbank Airport around 9:30 AM PT, and the tower was aware the pilot had been circling for about 15 minutes. The pilot eventually headed north along the 118 freeway before turning to the west, and started following above the 101 freeway around Woodland Hills, CA. At around 9:40 AM they encounter more weather – as in seriously heavy fog – and the chopper turned south. This was critical, because they turned toward a mountainous area. The pilot suddenly and rapidly climbed from about 1200 feet up to 2000 feet. However, moments later – around 9:45 AM – they flew into a mountain at 1700 feet. Flight tracker data shows they were flying at about 161 knots.

Helicopters tend to crash more frequently than other types of aircraft because they typically fly lower to the ground, which increases the risk that they might run into obstacles like buildings or power lines, especially when the weather makes it hard for a pilot to see. Compared to planes, they have more moving parts that can malfunction and tend to take off and land more often, which are statistically the most dangerous periods of any flight. They’re also generally harder to operate, particularly for beginners: The rate of accidents during training flights for helicopters is twice as high as that for planes. According to the FAA, though, the number of civilian helicopters has grown by 30 percent since 2006, while the number of accidents has actually decreased in “key global regions” by 30 to 50 percent.

Source:SLATE

20200127_151128.jpg
20200127_151147.jpg
20200127_150701.jpg
 
Yaani mtu maisha yako vizuri - hela, mke, watoto so far so good. Halafu unakufa na mwanao kwa usafiri exclusive ambao umetumia hela zako nyingi kuulipia!!! Linapokuja suala la kifo, binadamu hatuna ujanja kwenye maisha haya!!!

Ila Sikorsky kama brand haitotoka salama kwa hili!!!
 
UZI umeanza kuuelezea vizur
Hapo baada ya picha sasa![emoji41][emoji41]

kelphin kepph
 
UZI umeanza kuuelezea vizur
Hapo baada ya picha sasa![emoji41][emoji41]

kelphin kepph
Uzi origional ulianza kwa lugha ya mama. Nyongeza imeletwa na ma mods kutoka nyuzi nyingine. Nitau edit tupate flow nzuri na kulielewa dude Sikorsky S-76.
 
Ingawa Sikorsky S-76 inatengrnezwa kwa matumizi ya kibiashara na kiraia, muundo wake umechagizwa na helikopta ya kivita ya UH-60 Black Hawk.

5e2f4adb24306a2c18537245.jpeg


Kulinganisha na helikopta nyingine nyingi za kiraia, Sikorsky S-76 ni kubwa, ina ubora zaidi na ina injini mbili. Mara nyingi huendeshwa na marubani wawili. Marubani hupewa mafunzo mahsusi ya kina. Mambo haya yamechangia chombo hiki kuwa na rekodi nzuri ya usalama kwa zaidi ya miaka 40.

Malkia wa Uingereza amewahi kutumia S-76.
20200128_053600.jpg


Hata hivyo S-76 imekumbwa na matukio kadhaa. Tukio la hivi karibuni ni mwaka 2017 ambapo ilipata ajali huko Turkey, iliyoripotiwa kusababishwa na hali mbaya ya hewa iliyofanya rubani kutokuona vizuri na kosa la rubani!!!
5e2e03165bc79c0a40188b42.jpeg


Business Insider.
 
Kuna moja ipo kwenye video ya wimbo wa p didy coming home,Duh machine kali sana ilee
 
Uzi origional ulianza kwa lugha ya mama. Nyongeza imeletwa na ma mods kutoka nyuzi nyingine. Nitau edit tupate flow nzuri na kulielewa dude Sikorsky S-76.

Hivi kwanin mods wanafanya hvo
 
Update:

Jennifer Homendy memba wa board ya usalama wa usafiri ya marekani (NTSB) anasema helicopta iliyomuua Kobe na wenzake haikuwa na mfumo maalum cha kupima na kuonya kuhusu hali ya anga (terrain awareness and warning system). Mfumo huu ungemsaidia rubani kupata taarifa kuhusu changamoto mbali mbali angani (terrain).

Memba huyo amesema NTSB ilishauri helikopta za Sikorsky S-76 na zinazofanana na hizo ziwekwe kifaa hicho cha kiusalama kufuatia ajali mbaya iliyotokea mwaka 2004 huko Galveston, Texas na kuuwa watu10.

Hata hivyo, hadi sasa haijulikani kwa uhakika ni nini hasa kilisababisha ajali iliyomuua Kobe na wenzake.

CNN
 
Back
Top Bottom