tafuta official rom ya hyo cmu yangu then flash it na kila kitu kitakuwa okWakuu mi namiliki samsung shv-e330l nilipata converted rom inayopeleka simu into gt-i9506 but after installation tethering haifanyi kazi,msaada namna yaku fix hili tatizo
hapo ckubaliani na wewe kwamba cracks zinazima cmu na hazitokuja kuwaka... hata ukiwa na box ucpokuwa makini unaweza pia ukazima cmu.. uliwahi kuzima cmu gani na kwa crack ya box ipi?mimi naongea km fundi 'crack software not safe to use'
Official rom nnayo but kuna baadhi ya features nilikua nazikosa kama ku switch network modes,ndiyo maana nikawa najaribu rom nyingine .....tafuta official rom ya hyo cmu yangu then flash it na kila kitu kitakuwa ok
nimwekwambia crack huwa zina zimisha simu na ikizima huwa haiwaki endelea kushabikia crack nimekupa ushauri wabure 'hope you are not difficult in your mind'hapo ckubaliani na wewe kwamba cracks zinazima cmu na hazitokuja kuwaka... hata ukiwa na box ucpokuwa makini unaweza pia ukazima cmu.. uliwahi kuzima cmu gani na kwa crack ya box ipi?
Usiilimit kwenye 4g, 3g na 2g iweke automaticMkuu 2991 nina simu ya Samsung Note 3 Neo (SM-N750L)
ni toleo la Kikorea. Tatizo lake ni Network. Kuna wakati inashuka kabisa
baada ya muda inarudi tena. inaweza ikakaa sana. mpaka ujaribu kuzima na kuwasha
mara kadhaa ndio Network inarudi. Nimeambiwa hizi simu za Korean version zinasumbua Nwetwork sana.
Je nini Solution yake?
kama issue ni hotspot hebu jaribu kutafuta app, naamini kutakuwa na apps out there zinazoweza fanya hyo kaziOfficial rom nnayo but kuna baadhi ya features nilikua nazikosa kama ku switch network modes,ndiyo maana nikawa najaribu rom nyingine .....
Poapoa mkuukama issue ni hotspot hebu jaribu kutafuta app, naamini kutakuwa na apps out there zinazoweza fanya hyo kazi
nimekuuliza swali dogo tu brother, uliwahi kuzima cmu gani na kwa crack ya box ipi? ukisema tu UMENAMBIA pasina kuthibitisha hata mimi naweza pia NIKAKWAMBIA kile ambacho ntajickia KUKWAMBIA.. kama utathibitisha ntashindwa kukupinga bt now nina kila sababunimwekwambia crack huwa zina zimisha simu na ikizima huwa haiwaki endelea kushabikia crack nimekupa ushauri wabure 'hope you are not difficult in your mind'
nimekuuliza swali dogo tu brother, uliwahi kuzima cmu gani na kwa crack ya box ipi? ukisema tu UMENAMBIA pasina kuthibitisha hata mimi naweza pia NIKAKWAMBIA kile ambacho ntajickia KUKWAMBIA.. kama utathibitisha ntashindwa kukupinga bt now nina kila sababu
Aisee niPM bei yake, na nina note 3 ambayo pia inahitaji cert file.huwezi pata cert ya note4 fo free kaka, clean cert ya hyo kitu naweza nkakupatia bt kibiashara zaidi
Htc my touch 4gmodel ya cmu?
Ilikuwa inaandika upp is not supportkabla ya kuipeleka ilikuwa na shida gani?
Nsha taja ni My touch 4gTaja aina utajibiwa vizuri
Benny gsmhosting ume joint 2003, mimi nilijoin 2002. kwahiyo kumbe wewe ni junior kwangu hapo gsmhosting. salute me brother.nikajua ni kitu cha maana, sasa profile yako ya gsmhosting ina maana gani au inahusika vp na swali nlilokuuliza?.. i have mine too
Nimemwelewa Benny, alikuwa anakuonyesha profile yake ili umwelewe kuwa ameanza kazi hii zamani kidogo na anauelewa wa crack software na original software.nikajua ni kitu cha maana, sasa profile yako ya gsmhosting ina maana gani au inahusika vp na swali nlilokuuliza?.. i have mine too
Hivi wana juaje kama simu imebadilishwa imei[emoji102]na hata TCRA watakukamata utakapofanya imei change.. imei repair to original factory imei cyo kosa.. wanachokataa ni pale ambapo cmu husika ni kwamfano tecno boom j7 then imei zake zisome samsung e1205 asee hapo wakikushika umekwisha