huwezi weka rom ambayo haiko compatible na cmu yako, tecno h6 hata ukiweka rom ya tecno h5 haiwezi fanya kazi.. better way ni kutumia launchers, jaribu arrow launcher n naamini utaifurahiaNna Tecno H6 nahitaji kuiwekea ROM ya Yoyote ya Samsung yani naihitaji kuichange Tecno H6 to look like samsung, Is it Possible???
needrom.comWazee wenye ROM ya tecno N8 tigo Tz Unlocked.... Msaada bas..
Wameiweka katika grand primelg zipo nyingi sana zenye chip za mediatek.. samsung ndo sijaziona bt spd kwenye samsung zipo.. kwa maono yangu ni kuwa mtk ni cpu nyepesi ukifananisha na cpu nyingine so huenda ndo sababu samsung hawaitaki
Wameiweka katika grand prime
Inadai email imejilock huwezi kuingia ndani ukiweka laini simu zinaingia na unapokea ila wewe huwezi kupigatatizo hasa ni nin kwenye hyo cmu?.. ina screen lock ambyo huijui au inadai email kwenye store?
Ni imei siyo emailInadai email imejilock huwezi kuingia ndani ukiweka laini simu zinaingia na unapokea ila wewe huwezi kupiga
hakuna madhara ku unlock, na inawezekana kabisa ukafanya unlock ukatumia mtandao wa chaguo lakoWanajamvi Naomba Msaada Je Ku Unlock Vodacom smart Bomba Kuna Madhara na Kama Hamna Je Nawezaje Ku Unlock Niweze Kutumia Mitandao Yote Kwenye Internet?????
Nimefanya inadai email ukiweka laini unapokea simuumefanya data reset?
Nahitaji rom ili ni unlock 4g/3g network kwa mitandao mingineunahitaji rom kwa kuwa cmu ina tatizo au unataka iliyoko unlocked ili ufanye sim unlock ya hyo device yako ndugu?
Namaanisha hakuna mbinu nyingine zaidi ya kueka rom nyingine kwenye hii simuumefanya unlock ikagoma?
Hii ni tecno N8 ya tigo... Yani 4g & 3g imekuwa enabled kwa line za tigo tuu .huna haja ya kutafuta rom, unafanya tu unlock
huwa wanafanya simu ina line mbili bt line yenye 3g/4g ni ya tigo pekee na huwa ni line namba moja na ukiweka line tofaut na tigo haitosoma au itakudai NCK.. kama hyo ndo case jst unafanya unlock.. au hyo yako ikoje?Hii ni tecno N8 ya tigo... Yani 4g & 3g imekuwa enabled kwa line za tigo tuu .