Yap kwa hii simu inaonesha port zote zinasupport 4g/ 3g bt ukieka line tofauti na ya kwao kwenye kuselect network ili iwe 3g or 4g unakuta wameeka kivuli maana yake wamelock kwa hizo line nyingine..huwa wanafanya simu ina line mbili bt line yenye 3g/4g ni ya tigo pekee na huwa ni line namba moja na ukiweka line tofaut na tigo haitosoma au itakudai NCK.. kama hyo ndo case jst unafanya unlock.. au hyo yako ikoje?
inafanyiwa tu unlock then unatumia all networks with 3g/4g...Yap kwa hii simu inaonesha port zote zinasupport 4g/ 3g bt ukieka line tofauti na ya kwao kwenye kuselect network ili iwe 3g or 4g unakuta wameeka kivuli maana yake wamelock kwa hizo line nyingine..
Kwahiyo unaweza kuifix siyo
Unatumia tool gank kwa kesi kama hiyo mkuu[emoji41] [emoji41] [emoji41]inafanyiwa tu unlock then unatumia all networks with 3g/4g...
Nimeshakutumia mkuu whatsaapunaweza tuma image ya hyo cmu pale inapodai email?... 0717458447
Ndioni cmu zote?
Nna Tecno H6 nahitaji kuiwekea ROM ya Yoyote ya Samsung yani naihitaji kuichange Tecno H6 to look like samsung, Is it Possible???
Wajuzi nimenunua Techno Y2 yapata kama miezi mitatu lakini baada ya siku chache ikaanza kujuzima,na ikizimika haiwaki tena mpaka uchomoe betri halafu uirudishie,niliporudi dukani wakanibadilishia betri nyingine lakini tatizo halikwisha.
Baada yakuwaulizia baadhi ya wamiliki wa simu Techno Y2 wengi wameniambia kuwa na wao wamekumbana na kadhia hii.
Wadau naomba msaada kuhusiana ña tatizo hili.
Unatumia tool gank kwa kesi kama hiyo mkuu[emoji41] [emoji41] [emoji41]
Huyo mteja kiboko sio mchezo. Na kama alipata hyo simu basi ni kipndi cha msimuJust to look like samsung !!!!!!!
Its possible.
However if you need help, please let me know if i can be of further assistance.
kama hiyo rom ya samsung ni MTK, (ofcouse kuna samsung original zinazotumia MTK processors,)
Unahitaji ku extract system.img. na kubadislisha baadhi ya vitu kwenye system folder. Ila hakikisha chipset zinafanana. yaani kama hiyo simu yako chipset yake ni MT6589 basi zote ziwe MT6589.
Vitu muhimu vya kubadilshia.
*vendor
*usr
*modules
*hw
*libncurses.so
*firmware
*vold.fstab
*vold.fstab.nand
*bluetooth
Note: Try it at your own risk.
Niliwahi fanya hivyo long time kwenye H5. na kosa nililofanya sikurudishia original IMEI. ni kipindi kabla TCRA hawajaanza kufungia simu, Hiyo H5 ikawa kilakitu ni samsung. mwenye simu aliipendelea sana, Ila wakati TCRA wanafungia simu na yake ikawa miongoni akaipeleka kwa fundi wakamwambia alipie maana ni feki, moja kwa moja akaenda kunishatki police kuwa nilimbadilishia simu maana yake haikuwa samsung.
Inatoka vizur kabisa, ila si kwa unlock code.Mkuu Nina tekno N8 ya tigo vipi inawezekana Ku unlock iingize laini tofauti tofauti
lazima utumie tool hakuna crack ya hiyo simusamahan mkuu na nokia yangu x2-01 ina security lock but kila nikiweka pasword ku unlock inasema code error how can unlock it help please
Ok go pmNipo Lindi Mkuu
Mimi nataka nijue nini kinahitajika kufungua iPhone yenye icloud lock ili atumie mtu mwengine,msaada!Habarini wana JF, hope mko gud mnaendelea na harakati za weekend.
Mimi ni mdau wa mobile software na mara zote huwa napenda kushare contents na skills zangu na kujifunza vitu vipya kutoka kwa wenzangu pia.
Napenda hayo yatokee kwa wana tasnia wenzangu ili tuweze kusaidiana, tunaweza kushare roms, tools, repair and unlock contents like efs,qcn,nvm, certs n.k....na tukifika mbali zaidi ili tuweze kushare ujuzi na contents kwenye tasnia..ujuzi, contents na msaada wowote, karibuni tujuzane