Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

Join whatsapp group kwa link hapo juu tupeane skill and tricks for totally free.. Together we can, sharing is caring
 
Jinsi ya kuzipata hizo ambazo in cracked

Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
 
Thanks Sana Mkuu Ngoja Niufanyie Kazi
 
kuna jambo huwa linanitatiza. najuaje the right firmware kwaajili ya kuflash simu zetu za hapa bongo hususani simu za samsung. maana kuna firmware kutoka country flani ukiflash kwenye simu huwa inaacha kusoma mtandao. msaada wadau
 
Hivi wakuu, hii kitu haiwezekan kwel! ani kuflash ROM ya Samsung au brand ya sim nyingne kwenye MediaTek devices mfano hizi teno??? Najulzaga sana hili swali vp wakuu inawekana ku configure hii kitu?
 
Mkuu nimeingalia hii kitu kwa nje hakuna IMEI nadhani ipo kwa ndani ambapo mpaka ikifunguka ndio naweza kuona, hapa tunaweza fanyaje mkuu,?
Mkuu mbona mnaniruka. Nahitaji kuflash simu yangu kwa njia ya computer. Simu ni nokia belle reflesh 500. naomba maelekezo na mahitaji ya vitu ambavyo napaswa kuwa navyo. Nahitaji kuflash mwenyew
 
Mambo ya iCloud na kuuzwa na kampuni ipi mbona ni vitu tofauti kabisa. Au umehisi ni carrier lock?? Amesema kutoa iCloud Ndugu

Mkuu shukran kwa kusoma alichoandika ila ulivyo comment sio poa Mkuu, When you tell yourself that’s not possible because ABCD. How has that ever benefited you to be better?

Kama Hukuwa na uelewa basi ungekaa kimya au ungeuliza. Hutaweza kujifunza kitu kama utajiona unachokielezea ndio sahihi mda wote.

Albinoomweusi : Ameelezea vizuri kabisa, "naweza kutoa bei inategemea imeuzwa na kampuni ipi"
Ukisoma kwa umakini kabisa utaona kuwa anatoa Icloud, na akaenda mbele zaidi kwa kusema bei ya kutoa hiyo icloud inategemea na kampuni ipi iliuzwa hiyo simu, pengine anatoa icloud kupitia agents wake na wanampa bei tofauti kulingana na maelezo yao: Mfano
  • iCloud Removal For Iphone All Model Clean Imei USA Network only
    Service info:
    AT&T iphone Clean icloud 99% Success rat.
    T-mobile usa/ sprint iphone Clean icloud 90% Success rat.
    verizon and other usa carrier iphone Clean icloud 70% Success rat.
    Sold by apple not supported.
    Lost Mode icloud not supported.

  • 105$ iCloud Removal For Iphone All Model Clean Imei Uk Network only 3-10 days !

  • ICloud Removal All iPhone/iPads Clean Imei (Only UAE,KSA,Bahrain,Qatar,Kuwait 100% success

Kumbuka: Mwisho wa yote simaanishi kuwa mimi ndio nipo smart sana humu, bali napendekeza tuwe na practice nzuri tushirikiane kwa pamoja ili kupeana maujuzi na kuzidi kujifunza,
 
Hivi wakuu, hii kitu haiwezekan kwel! ani kuflash ROM ya Samsung au brand ya sim nyingne kwenye MediaTek devices mfano hizi teno??? Najulzaga sana hili swali vp wakuu inawekana ku configure hii kitu?
Hakuna kitu kama hicho mkuu...ukitaka kufaid custom rom we nunua brand kubwa hizi...hutokaa utaman stock firmware
 
Mimi na samsung S7 .. ilikuwa version 6..nikapelekea jamaa wa customer service pale kkoo waniweke version 7...cha kushangaza baada ya kufanya update simu yangu ikapoteza network na imei inayosoma nitofaut sio iliyopo kwenye simu...msaada please ..wamekaa na simu yangu mwezi sasa
 
s7 haina imei change option, hapo unajaribu kuwrite default efs, super imei na vyote vikigoma unahitaji certificate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…