emanuel joseph
Member
- Jan 4, 2014
- 35
- 11
habar, me nina shida kidogo hapa simu yangu ni huawei y520-u22 nlikua naitumia lakini ghafla tu ilijireboot na kustuck kwenye logo ya huawei na nikijaribu kufanya hard reset inafika sehemu inasema can't reach phone encrypted state, nikijaribu kuflash kwa sp flash pia inagoma.. msaada hapo nini cha kufanyaHabarini wana JF, hope mko gud mnaendelea na harakati za weekend.
Mimi ni mdau wa mobile software na mara zote huwa napenda kushare contents na skills zangu na kujifunza vitu vipya kutoka kwa wenzangu pia.
Napenda hayo yatokee kwa wana tasnia wenzangu ili tuweze kusaidiana, tunaweza kushare roms, tools, repair and unlock contents like efs,qcn,nvm, certs n.k....na tukifika mbali zaidi ili tuweze kushare ujuzi na contents kwenye tasnia..ujuzi, contents na msaada wowote, karibuni tujuzane
Huawei haiflashiwi kwa SP flash tool sababu hii tool ni kwa MediaTek devices tu kama tecno, mkuu huawei ni Qualcomm device so inaflashiwa kupitia recovery kwa file lake linalokua katka mfumo wa UPDATE.APP likiwa ndan ya folder li name "dload" afu weka kwenye memory card na kupitia recovery chagua "Update from SD card" kisha chagua file la "dload" then itaanza kuflash.....habar, me nina shida kidogo hapa simu yangu ni huawei y520-u22 nlikua naitumia lakini ghafla tu ilijireboot na kustuck kwenye logo ya huawei na nikijaribu kufanya hard reset inafika sehemu inasema can't reach phone encrypted state, nikijaribu kuflash kwa sp flash pia inagoma.. msaada hapo nini cha kufanya
520 u22 ni mtk6572, so anawexa flash kwa sp ila huwa xina lcd error after flash so wakati wa flashing untick lkHuawei haiflashiwi kwa SP flash tool sababu hii tool ni kwa MediaTek devices tu kama tecno, mkuu huawei ni Qualcomm device so inaflashiwa kupitia recovery kwa file lake linalokua katka mfumo wa UPDATE.APP likiwa ndan ya folder li name "dload" afu weka kwenye memory card na kupitia recovery chagua "Update from SD card" kisha chagua file la "dload" then itaanza kuflash.....
NB; Tafuta flash file mtandaoni kulingana na model ya sim yako........
Yaah tena zinapata nougat na features zakutosha...Kweli kabsa mkuu nmefuatilia jana mtandaoni nikaona brand kubwa kubwa za sim zina custom ROMs nyingi sana zilizo modded na za kuvutia.
ina working imei?, piga *#06# then tuma imei ti 15090.. baseband ipo sawa au unknown?habari wana jamii forum.. nina simu yangu huawei y530 ilikuwa inafanya kazi vzr ila kwa sasa haionyeshi kabisa mtandao (network). yaani kwa maana hiyo sipatikani, mtu akinipigia hanipati hewani. nikitaka kutumia internet ni mpaka niconnect na wifi.. naomba kuuliza nawezaje kuirudisha ili iweze kuwa na networks.. asante
Mwamba mie nina simu yangu ya acer z500 liquid,ilikuwa vizuri tu sasa haisomi line zote isipokuwa halotel,na hiyo halotel ukiuliza salio inakwambia network not available,sijajua kuna tatizo gani. msaada tafadhaliina working imei?, piga *#06# then tuma imei ti 15090.. baseband ipo sawa au unknown?
s7 haina imei change option, hapo unajaribu kuwrite default efs, super imei na vyote vikigoma unahitaji certificate
Mimi na samsung S7 .. ilikuwa version 6..nikapelekea jamaa wa customer service pale kkoo waniweke version 7...cha kushangaza baada ya kufanya update simu yangu ikapoteza network na imei inayosoma nitofaut sio iliyopo kwenye simu...msaada please ..wamekaa na simu yangu mwezi sasa
Thanks..so nani amesababisha hili tatizo maana b4 update simu yangu nilikuwa naitumia vzr...niwashtaki hawa customer service or??Hollow D 007
Upo kwenye very difficult situation kwasasa, kwa uelewa wangu ni kuwa Samsung wamezuia mianya ya mtu kucheza na IMEI ya simu zao na huwa wanafanya kila wanapotoa toleo jipya.
mariifa zaidi yanahitajika
- Njia ya kurepair IMEI kwa kuandika Certificate kwenye samsung s7 na s7edge imekuwa na utata kwa sasa. Professional Tools developers, wengi wao wameondoa ile option baada ya kugundua kuwa Samsung wamezuia verification code. unaweza andika ile yake ya zamani kama ulifanya backup, na si vinginevyo.
- Je walifanya backup ya IMEI zako? na kwasasa hiyo iliyokuwa "messed up" ambayo haishiki or not registed to network ni (35000....)
- Kwenye Samsung s7/edge unaweza ukarepair IMEI kwa kuandika cert ambayo ita-match Baseband ID na IMEI.
Hapa nachoweza kuongezea ni : Its useless kununua au ku-exchange certs ambazo hazita-march na CPID za simu lengwa.
- Wajanja wanoweza au wanoshirikiana na watu wa Samsung database ( MSL ya simu yako )
- Namna ya kuweza kuchukua au kupata data za CPID kwenye simu yako kwa kutumia MSL
- Njia hii nayo sio rahisi ni ghali kidogo > Ukishapata CPID then Una-order cert zinazoendana na CPID ya simu yako ( cert hizi zitafanya kazi kwenye simu yako tu na sio tofauti na yako )
- Use AT commands, au any third part Tools kuandika certs zako.
Issue yako ni rahisi sana kama hiyo computer waliyotumia ningeweza kuwa na access nayo. Vilevile sijajua walitumia professional tool aina gani? Most professional tools zinafanya security backup. So mostly likely kutakuwa na saved backup ya security data kwenye hiyo pc waliyotumia.Thanks..so nani amesababisha hili tatizo maana b4 update simu yangu nilikuwa naitumia vzr...niwashtaki hawa customer service or??
Kuna solution for this problem??Issue yako ni rahisi sana kama hiyo computer waliyotumia ningeweza kuwa na access nayo. Vilevile sijajua walitumia professional tool aina gani? Most professional tools zinafanya security backup. So mostly likely kutakuwa na saved backup ya security data kwenye hiyo pc waliyotumia.
Kuhusu kuwashtaki, sidhani kama Kuna jinai hapo. Ilikuwa ni makubaliano. So hapo ni madai sio jinai. Anyway jaribu kuwauliza kama wanazo backup data za simu yako.
Yes ipo ila at a very high cost zaidi ya $100 . Na hapa nimekupa maelezo kulingana na nivyofahamu mimi. Ila some other gurus wanaweza kuwa na yakwao. Let's hear from them also.Kuna solution for this problem??
Its not my fault lakini..they need to fix my phone for their own cost..Yes ipo ila at a very high cost zaidi ya $100 . Na hapa nimekupa maelezo kulingana na nivyofahamu mimi. Ila some other gurus wanaweza kuwa na yakwao. Let's hear from them also.
Its not my fault lakini..they need to fix my phone for their own cost..
mkuu kulikuwa na account moja ya 4shera kama sikosei ilikuwa INA app za kuflash simu naiomba kama bado upo nayoJoin whatsapp group kwa link hapo juu tupeane skill and tricks for totally free.. Together we can, sharing is caring
Nicheck 0658190978natafuta kioo complete cha S4