Haisee error ya kugoma kuptia sp flash tool ni ip inayojitokeza???habar, me nina shida kidogo hapa simu yangu ni huawei y520-u22 nlikua naitumia lakini ghafla tu ilijireboot na kustuck kwenye logo ya huawei na nikijaribu kufanya hard reset inafika sehemu inasema can't reach phone encrypted state, nikijaribu kuflash kwa sp flash pia inagoma.. msaada hapo nini cha kufanya
Y520-u22 ni mtk mzeeHuawei haiflashiwi kwa SP flash tool sababu hii tool ni kwa MediaTek devices tu kama tecno, mkuu huawei ni Qualcomm device so inaflashiwa kupitia recovery kwa file lake linalokua katka mfumo wa UPDATE.APP likiwa ndan ya folder li name "dload" afu weka kwenye memory card na kupitia recovery chagua "Update from SD card" kisha chagua file la "dload" then itaanza kuflash.....
NB; Tafuta flash file mtandaoni kulingana na model ya sim yako........
nimeitafuta sanaPitia thread vema utapata
Hellow bombalamvua !simu yangu note3 haina mtandao satifiket ipo powa tatizo ni nini
Nicheck ktk 0658190978, 0763976109natafuta kioo complete cha S4
Huwa natumia za INDIA na KENYA hazijawahi niangushakuna jambo huwa linanitatiza. najuaje the right firmware kwaajili ya kuflash simu zetu za hapa bongo hususani simu za samsung. maana kuna firmware kutoka country flani ukiflash kwenye simu huwa inaacha kusoma mtandao. msaada wadau
aweke 'flashing log' tuoneHaisee error ya kugoma kuptia sp flash tool ni ip inayojitokeza???
Ilitokea vp hadi ikawa hvo???simu yangu iphone 6 imekufa taa za display,,nan anaweza ntatulia tatizo hili?
iliandika tu temperature is too high bas ikajizima,,kuwasha unaona maaandish kwa mbali kama upo kwenye mwanga bt gizani huon kitu.... wajanja wanadai taa za display ndo zmekufa.Ilitokea vp hadi ikawa hvo???
Unapatikana wap???iliandika tu temperature is too high bas ikajizima,,kuwasha unaona maaandish kwa mbali kama upo kwenye mwanga bt gizani huon kitu.... wajanja wanadai taa za display ndo zmekufa.
nipo DSM.... vp inaweza tibika mkuu?Unapatikana wap???
PMnipo DSM.... vp inaweza tibika mkuu?