Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 15,670
- 14,647
umenikumbusha mbali sana 'do not trust any body except your self'kazi za kubadili IMEI ndugu mim huwa sizifanyi kabisaaa maana unaweza ukamuamini hata mtu wako wa karibu then akakuchoma, ukishaona tu kazi haieleweki eleweki bora uachane nayo maana unaweza ukajikuta elf10 tu imekuponza unaishia pabaya..
Model name nipe mkuuSimu yangu inatumia mtandao mmoja ya Vodacom nataka itumie laini zote
acha ubishi njoo icloud inatoka labda ushindwe bei na inategemea kama imeuzwa direct kutoka apple au laMambo ya iCloud na kuuzwa na kampuni ipi mbona ni vitu tofauti kabisa. Au umehisi ni carrier lock?? Amesema kutoa iCloud Ndugu
Hawajui ulimwengu unachange kila siku!!! Kila issue huwa inaanza inekaziwa lakin baadae mlegezo tu kama icloudacha ubishi njoo icloud inatoka labda ushindwe bei na inategemea kama imeuzwa direct kutoka apple au la
km inawaka na kuganda inawezekanaMi sio fund ila nina huawei 530, naskia hizi simu ni shidah, yaan zinasumbua saana software yake , nafanyaje , ishanizimia, nlipeleka kwa fundi kitamboo saaana once akaweka software nyingine lakini haikumaliza MWEZI, nimeibwaga kama miez cta nau japo bado inadai aiseeh,
Inaweza fufuka
Msaada Tafadhali
Nipo dar
Full model name/number ya hyo lumia ji ip???Inakuaje bro mi Nina Nokia lumia INA network lock
Network, product code and country check for all Nokia modelsm.sim-unlock.netRm-974
network unlock ya lumia ni very expensive na hutegemea iko locked na mtandao gani... kufanya unlock unaweza nunua code online au kwa kutumia flashbox kama infinity na atf yakupasa uwe na credit kwenye account ndo uweze unlock na cyo free kama cmu nyingine... kuanzia 80 hadi 100 ucshangaeBro Nina Nokia lumia INA network lock
yes very expensive 'tena ukipewa km zawadi'network unlock ya lumia ni very expensive na hutegemea iko locked na mtandao gani... kufanya unlock unaweza nunua code online au kwa kutumia flashbox kama infinity na atf yakupasa uwe na credit kwenye account ndo uweze unlock na cyo free kama cmu nyingine... kuanzia 80 hadi 100 ucshangae
nck pia unaweza tumia hata zile cracks zinapiga kaz poanck imecmama 370 but falcon cjajua.. ila falcon hakuna kitu ni ujinga