Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

Wataalamu.... Simu yangu Samsung s6 Edge inatatizo La kujizima na kujiwasha.. Simu ni mpya sijaiangusha Wala kuifanya chochote cha kuiharibu. Ilianza kila nikiwasha data inajizima na kujiwasha lkn kwasasa inawaka na kuzima tu mpaka chaji iishe. Nimeishafanya factory reset Mara nyingi lkn bado.. Nimebadilisha lain Hamna kitu.... Mbaya zaidi nilipoinunua sikufatilia kuhusu warranty maana niliiamini Sana..... Naomba msaada
 
nck pia unaweza tumia hata zile cracks zinapiga kaz poa
crack ya nck iliyopo ni mtk android na samsung module pekee na zote ni outdated.. nck ina module nyingine nyingi.. kuna generic mtk, spd module, qualcom module, samsung module bila kisahau main module ambayo ndiyo module mama.. na kwa crack utakuwa outdated maana cmu mpya zinatoka daily with new securities kwahyo kumiliki box ni best option..
 
ulipoipata hyo cmu at first ilikuwa inapandisha hyo 4g?
 
zipo option nying, coz m natumia cracks na na fix karbia ishu zote,
 


Mkuu mimi natumia iphone 6,,lakini naona nikipiga picha usiku hazitoi picha nzuri kabisa,,tena sehemu yenye giza ndio kabisa,,nishajaribu settings lakn bado,,ebu nipe maelekezo if any 'hapo
 
Haina mkuu yenyewe iko automatic naona
sim1 na sim 2 zote zinasupport line za hapa tz au kuna hata moja ambayo iko locked to a specific network?
 
sim1 na sim 2 zote zinasupport line za hapa tz au kuna hata moja ambayo iko locked to a specific network?
Zote zinasupport laini za hapa tz tatizo ni 4g haipandi
 
Zote zinasupport laini za hapa tz tatizo ni 4g haipandi
sim 1 pia haina option ya kuswitch network mode?.. kama uko na whatsapp nicheki 0717458447
 
sim 1 pia haina option ya kuswitch network mode?.. kama uko na whatsapp nicheki 0717458447
Nakuchek mkuu na ntahitaji pia uwe mwalimu wangu si unajua me ni form1.

form1
 
Ndugu wanajukwaa, nimefuta mafaili niliyokuwa nimehifadhi ndani ya simu ya Samsung J1 ACE kwa bahati mbaya, inaniuma sana! Naomba mtu mwenye maujanja ya ku-RECOVER files hizi anisidie tafadhali.
 
Mwenye PC driver za Samsung gt b7722 anisaidie tafadhali
Cc:2991
 
Ndugu wanajukwaa, nimefuta mafaili niliyokuwa nimehifadhi ndani ya simu ya Samsung J1 ACE kwa bahati mbaya, inaniuma sana! Naomba mtu mwenye maujanja ya ku-RECOVER files hizi anisidie tafadhali.
unaposema files unamaanisha nini?, ni apps?, music?, images? au documents?.. na umefuta kwa ku delete? erase phone storage? au ume wipe data?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…