Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

Kwa nn i phone zikiwa blocked hazifunguliwi au kuna namna nyingine ya kuzifungua
hopefully unaongelea ICLOUD LOCK ambayo huwa inadai user account na password zilizokuwa zinatumika.. ICLOUD ni kama FRP au REACTIVATION LOCK bt FRP na REACTIVATION LOCK zote hizo unaweza uka bypass so easily.. tofauti kubwa ni securities zinazotumiwa na APPLE na companies nyingine.. securities za companies nyingine unaweza bypass easily bt note securities za APPLE.. ikumbukwe kuwa apple huwa wanafsnya software update mara nyingi tofauti na ANDROID na wanapofanya updated huwa hasa wanalenga kufix security loops/holes zilizopo ili kuzuia breach.. kuna developers ambao wanaweza fanya bypass ys ICLOUD bt ni kuanzia iphone4 kushuka chini na hii ni kwa sababu ys security iliyopo kwenye iphone4 kishuka chini bt baada ys kufanyiwa bypass huwa haziwezi kupata network... kingne ni kuwz apple wanatumia OS yao wenyewe tofauti na android ambayo ni so common hvyo huws wanainvest sana kwenye security ili kulinds products zao.. kikubwa nadhani ni regular security check and update and fixing those security holes
 
Watalaamu nisaidieni nataka kujua application zitazoniwesha kupata Instagram kwenye pc ukiacha bluestacks.
 
Kwa hiyo i phone 4s km ina i cloud lock inaweza kutoka maana nazo km mbili ila kila nikijaribu kutafuta apps yeyote inayoweza toa hiyo kitu hakuna
 
Watalaamu nisaidieni nataka kujua application zitazoniwesha kupata Instagram kwenye pc ukiacha bluestacks.
Mkuu jaribu koplayer au youwave ni free Ila youwave haiconsume ram Sana maana inachukua low space na ina android 4.4 kitkat na Kama unataka android 5 yaani lollipop ipo ila inauzwa, so just Google crack yake ipo utaipata.
 
tupo pamoja mkuu
 
tupo pamoja mkuu
 
Mkuu simu yangu ya LG OPTIMUS 4XHD imepoteza IMEI baada ya kuitumia miaka 3. Hivyo haina network na imebaki kuwa camera tu. Nimejaribu kwa mafundi mbali mbali wa software bila mafanikio. Naomba ushauri wako tafadhali.
 
Mkuu simu yangu ya LG OPTIMUS 4XHD imepoteza IMEI baada ya kuitumia miaka 3. Hivyo haina network na imebaki kuwa camera tu. Nimejaribu kwa mafundi mbali mbali wa software bila mafanikio. Naomba ushauri wako tafadhali.
ukipiga *#06# inaleta imei zipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…