Tatizo lililopo kwasasa ni kwamba simu inaandika emergency call only yaani huwezi kupokea simu, kupiga simu, wala kutuma sms lakini mobile data ipo fresh kabisa unafungua internet na kuperuzi vizuri kabisa. Ndio nimekwamia hapojaribu kurepair efs kwa kuwrite efs na kama utapata efs from another working phone itakuwa poa zaidi na hapo ikifail unatakiwa kuflash cmu yako with latest firmware
Tatizo hapo ni imei za simu yako zitakuwa zime corrupt tuma kwenda no 15090 TCRA utapata jibu zuri kupata imei za simu bonyeza *#06#Tatizo lililopo kwasasa ni kwamba simu inaandika emergency call only yaani huwezi kupokea simu, kupiga simu, wala kutuma sms lakini mobile data ipo fresh kabisa unafungua internet na kuperuzi vizuri kabisa. Ndio nimekwamia hapo
Kweli aisee, nimecheck imei zime corrupt. Kwahiyo nita solve vipi hapo?Tatizo
Tatizo hapo ni imei za simu yako zitakuwa zime corrupt tuma kwenda no 15090 TCRA utapata jibu zuri kupata imei za simu bonyeza *#06#
Nimesha sahau ni simu aina gani maana hii Thread haija kaa vizuri kila mtu anachomekeaKweli aisee, nimecheck imei zime corrupt. Kwahiyo nita solve vipi hapo?
Samsung note 3Nimesha sahau ni simu aina gani maana hii Thread haija kaa vizuri kila mtu anachomekea
Be specific note3 ziko zaidi ya 30 Model no please!Samsung note 3
SM-N900Be specific note3 ziko zaidi ya 30 Model no please!
Lakini hii kwako itakuwa ngumu kumeza
Box ipi ni bora na inayofaa kwa kazi?box ni hardware ambayo inafanya kazi pa1 na software, kwa mfano box yetu ni BST DONGLE kwahyo kale ka dongle ndo hardware while ile installation setup ndo software.. zenyewe huwa zina muunganiko wa codes ambapo mtumiaji kazi yako ni kuchagua operation unayoitaka then those codes zilishakuwa prepared and they will operate as u have chosen... kwa maelezo rahisi ni vifaa ambavyo tunavitumia kufanyia flashing, unlocking and repair n kingine ni kwamba kuna operations ambazo tunaweza kuzifanya pasina kutumia hizo boxes ila zile most advanced zinazohusisha advanced security bac zitahitaji box na si tu box bt box ambayo iko advanced.. baadhi ya simu zenye advanced security ni kama samsung hasa latest models with their securities like REACTIVATION LOCK na hata kwenye kufanya repair hasa hasa reading and writing of certs na hata qcn.. huduma nyingi za hizi simu za kichina huwa zinafanyika na hizo box bt nyingi kama cyo zote huhitaji box.. kuna DEVELOPERS ambao hufanya baadhi ya hizi software za box zitumike bila ya kuwa na hardware yake na kwa lugha rahisi tunaziita CRACKS yaani box software ambayo iko cracked.. kwa mfano Z3X box unaweza ukatumia software yake bila kuwa na hardware yake lakini ikumbukwe box yoyote ambayo iko cracked itafanya baadhi ya kazi na si zote na kwa mfano wa hyo box tajwa hapo juu yaani Z3X operations nyingi za repair and unlock hazitofanya kazi na utakapotumia hizo cracks unakuwa huna uwezo wa kufanya update hadi usubiri developers wafanye cracking ya version tofauti.. watengenezaji wa hizo box huwa wanajua pia kama kuna watu wanaofanya cracking ya software zao hvyo kila wanavyofanya update huwa wana improve securities na ndo maana box nyingi za kisasa zinatumia SMARTCARD tofauti na box za zamani kama VOLCANO,GPG na nyingine... hope ntakiwa nimejibu hata kwa 10% bt sory for very long and boring answer
Wakuu mm n graduate wa dploma ya electronics n telecom pale dit nko familier na simu matitizo ya software kwny upande wa cm hasa hasa hz smartfone n nmekua nkreceive cm za watu wenyemattzo hapo mtaan kwetu and i was able to solve them lkn kwa ujanja ujanja yan cna zle mbn zenyew sa naona nmetokea kuaminika kama fund cm naomba kujuzwa nfanye nn au natakiwa niwe na nn ili niwe compitent kwenye hii fani ya ufundi simu kwenye software?
ⓑⓐⓓⓨ
Naptia wap ili kuvjua ivo mkuutake ur time uzijue kwanza cmu, cyo kwa brands bt hapa nazungumzia CPU na hata their boot sequences
hapo lazma ifunguliwe cmTecno H6 "cant connect to camera" hii message inakera sana ! Msaada narekebisha vipi tatizo hili la camera wakuu coz hardware ya camera ipo freshi
Sent using Jamii Forums mobile app
Tecno H6 "cant connect to camera" hii message inakera sana ! Msaada narekebisha vipi tatizo hili la camera wakuu coz hardware ya camera ipo freshi
Sent using Jamii Forums mobile app
Naptia wap ili kuvjua ivo mkuu
ⓑⓐⓓⓨ