Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

habari wakuu. nina simu samsung galaxy s4 gt_i9500 ina firmware ya kichina ambayo haina google. ninaweza ibadilisha kuwa international vision au ndo itabreak
 
link to join our whatsapp group, zingatia ni all about mobile software.. tofauti pita pembeni
 
ninasimu inasoma baadhi ya line zingine hazisomi naomba anaeweza kuitengeneza iweze kusoma line za mitandao yote anipm
 
mim nina simu yangu iphone 4 s nili restore sasa inadai reactivation lock na sina pasword za apple id iliokuwepo mnaweza kunisaidiaje?
 
Mimi bwana natumia TECNO BOOM J7 kuna Jamaa Ali niazima katumia kama WK iv baada ya kunrudishia kila nki washa ina andika HIOS IS STARTING bas ina chelewa kweli kuwaka :-Msaada tafadhal
 
Mimi bwana natumia TECNO BOOM J7 kuna Jamaa Ali niazima katumia kama WK iv baada ya kunrudishia kila nki washa ina andika HIOS IS STARTING bas ina chelewa kweli kuwaka :-Msaada tafadhal
Mmhhh kwan J7 ina HIOS kweli!!! Kama ndo hvo surulisho ni kufanya factory data reset ikifail hapo inabid ikafanyiwe full firmware flashing.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenye ASUS ZENFONE 6 mbovu tuwasiliane

sent by saver from tel aviv-Israel
 
Msaada, mwenye firmware ya Vodafone vfd 300, maana niliyodownload online baada ya kuflash inaishia kwenye start up ring
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…