Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

nina teckn w4 niki washa inandika upgrund app 1,63 aiendele
 
Ndugu zangu wanajukwaa mimi Simu yangu internal memory 16GB ila hakuna vitu vingi kwenye simu ila nashangaa ijaa tu mpaka nimeamua kurestart lakini bado tatizo liko pale pale

Nini cha kufanya karibu wajuzi wa mambo ili niondokane na hili tatizo<br /><br />Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za majukumu.
Naomba mwenye uwezo wa kupata unlocking codes za simu anisaidie ili niweze kutumia line zote.simu yenyewe ni Vodafone mini smart 7 vfd 1100.
 
Habari za majukumu.
Naomba mwenye uwezo wa kupata unlocking codes za simu anisaidie ili niweze kutumia line zote.simu yenyewe ni Vodafone mini smart 7 vfd 1100.

0717458447... Nicheki, but cyo for free
 
Tekno Y6 inakata ghafla net ya line zote mbili na wakati mwingine inazimika yenyewe mpaka utoe betri uiache kama DKK tano Hivi ukiweka betri unawasha inawaka,pia kuna wakati inastop application zote.tatizo ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…