Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 15,670
- 14,647
Tecno y6 asilimia 70 ni software ni aina ya simu ambayo ni mbovu sana bora hatap5 ama h5ila kwa mimi kinachonifanya nseme hardware n hyo tabia ya kuiacha kwa dakka 5 ndio awashe. au pia labda atueleze km hakuna overheating
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
may be, hapo bac yabd aireset aone maendeleoTecno y6 asilimia 70 ni software ni aina ya simu ambayo ni mbovu sana bora hatap5 ama h5
ku reset nadhani hakuta tatua tatizo
for troubleshooting na ikiendelea ndio aendelee na hatua nyngne.ku reset nadhani hakuta tatua tatizo
ulishapata?
Una uhakika ni j5 genuine????Wakuu mimi natumia samsung j5,internal memory inaonesha 8Gb (ukiingia kwenye setting then storage)...ila application zingine zote za kuonesha memory ya simu zinaonesha cm yangu ina 4.67Gb
Hebu nisaidieni hapo.
Umeziruhusu kutumia internet hzo applications???Habari, ninashida kwenye simu yangu ya tecno J8, kila nikitaka kureset factory inanipa meseji ya unfortnately, settings has stopped, hivyo basi zoezi zima linakwama.
pia nkitaka kutumia whatsap na facebook messenger na instagram zinadai kuwa hakuna network connection, lakn mitandao mingine inafanya kazi kama kawaida, naombeni msaada wandugu.
Duuu nimesoma vizuli Ila chenga hakuna nililo elewa kweli hizi kazi za watu kwan nikitaka kujua aya mambo nafanyaje wakuuhopefully unaongelea ICLOUD LOCK ambayo huwa inadai user account na password zilizokuwa zinatumika.. ICLOUD ni kama FRP au REACTIVATION LOCK bt FRP na REACTIVATION LOCK zote hizo unaweza uka bypass so easily.. tofauti kubwa ni securities zinazotumiwa na APPLE na companies nyingine.. securities za companies nyingine unaweza bypass easily bt note securities za APPLE.. ikumbukwe kuwa apple huwa wanafsnya software update mara nyingi tofauti na ANDROID na wanapofanya updated huwa hasa wanalenga kufix security loops/holes zilizopo ili kuzuia breach.. kuna developers ambao wanaweza fanya bypass ys ICLOUD bt ni kuanzia iphone4 kushuka chini na hii ni kwa sababu ys security iliyopo kwenye iphone4 kishuka chini bt baada ys kufanyiwa bypass huwa haziwezi kupata network... kingne ni kuwz apple wanatumia OS yao wenyewe tofauti na android ambayo ni so common hvyo huws wanainvest sana kwenye security ili kulinds products zao.. kikubwa nadhani ni regular security check and update and fixing those security holes
Duuu nimesoma vizuli Ila chenga hakuna nililo elewa kweli hizi kazi za watu kwan nikitaka kujua aya mambo nafanyaje wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikweli kabisa ila naweza vipi kujuaa uu ufundi au unasomea course ziipi ili uwe na uu ujuziKila kitu kinawezekana
Nikweli kabisa ila naweza vipi kujuaa uu ufundi au unasomea course ziipi ili uwe na uu ujuzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuu nashukuru brooooKikubwa ni kupata watu sahihi ambao utajifunza kupitia kwao na wewe kupenda kazi yako.. Hizo habari za course gani usomee huku hakunaga jombaa, kwa mfano mimi profession yangu ambayo nliikalia darasana na kugraduate ni LLB but now nko huku napiga kazi
Natumia Asus zenfone 6 natafuta MTU Mwenye ujuzi wa kuipandisha OS kuja hii ya leo kama unaweza nicheck hapa 0655090000
Nahitaji niupadate firmware kwenye simu yangu ya samsung. Nikijaribu kwq njia ya kawaida ya internet inagoma. Naomba unisaidie kuupdate manually. Kuna mtu alinielekeza unaweka kwenye memory lkn nimesahau namna ya kurename folder lisomwe kweny simuNipo hapa mwingine.