waweza ipata kwa msaada wa polisiIMEI nikwaajili ya lock , so labda kama ungekuwa umeallow kuitrack na kufungua Samsung account ungeweza ipata
aina gani ya simuWadau... Simu yangu ipo rooted sipati update zozote kutoka kwa kampuni husika walitengeneza hii simu... Swali je naweza kuiondoa root nikafanya simu yangu ikawa kama zamani nikaweza kupata update kutoka kwa kampuni husika?
tafuta firmware na sp flashtool kisha iflashwakuu na wajuzi napenda kuungana nanyi tena katika jukwaa hili naomba msaada na mtaalam wa ku unlock N8
acha uongo kama iliibiwa polisi wanatrack imei... kwa hiyo kama imeripotiwa itapatikana tu ukizingatia huwezi badilisha imei ya simu... pia kauli zako zinafanya polisi waamini kuwa mafundi tunasupport wizi hii haitupi taswira nzuri kwa serikalinafungua iphones zenye passcode lock na kutoa icloud nasisitiza natoa icloud sio kufungua,na sio iphones zote zinaweza funguliwa especially ambazo zinalatest versions za IOS but whatever lete simu yako niishughulikie bei maelewano<br /><br />nikiishamalizana na iphone yako inakuwa mpya bila ownership ya mtu yeyote yule mpaka utakapo sign in na apple id so its safe hautaweza patikana hata kama utaleta uliyoiba au uliyookota<br /><br />my number 0692747618
mwambie abadilishe mkanda wa chini wenye charging systemNina Nokia Lumia 3200 imepasua mafumdi vichwa, ilikata Network ghafla, pia ikaleta Airplane mode,na haitoki , baadae nikaizima,kuna kuwasha haitaki mpaka u hold volume down na power ndio inawaka,mafundi inawapelekesha mno(wa software alichemka anasema ni hardware), hardware nae anaumiza ndonga bila majibu
Sawa mkuu,je hua unasababisha airplane mode??? Maana kweli simu hata kucharge inazinguamwambie abadilishe mkanda wa chini wenye charging system
Mkuu unaweza kuniambia nini nifanye simu yangu ya nokia xl ukiiwasha ina ganda kwenye logo ya nokia tuHabarini wana JF, hope mko gud mnaendelea na harakati za weekend.
Mimi ni mdau wa mobile software na mara zote huwa napenda kushare contents na skills zangu na kujifunza vitu vipya kutoka kwa wenzangu pia.
Napenda hayo yatokee kwa wana tasnia wenzangu ili tuweze kusaidiana, tunaweza kushare roms, tools, repair and unlock contents like efs,qcn,nvm, certs n.k....na tukifika mbali zaidi ili tuweze kushare ujuzi na contents kwenye tasnia..ujuzi, contents na msaada wowote, karibuni tujuzane
ndioSawa mkuu,je hua unasababisha airplane mode??? Maana kweli simu hata kucharge inazingua
yawezekana kuifalashMkuu unaweza kuniambia nini nifanye simu yangu ya nokia xl ukiiwasha ina ganda kwenye logo ya nokia tu
labda mkuu hapo kunauwezekano wa kuiflash hii simu?
Kuna app IPO inafanya hiyo kazi hebu chunguza apps zakoIvi kama simu ina download apps yenyewe shida inakua ni nini na nini solution yake
SHUKRAN MKUUyawezekana kuifalash
ila kama wewe ni fundi hawa jamaa wanalo group la whatsapp ungejiunga ungefaid zaidThanx Elya