benmatelefone
Member
- Jun 12, 2014
- 10
- 17
mkuu samahan kuwa hawa sex virus ambao huwa wanaingia kwenye sim then sim inaanza kudownload app.yenyewe vip namna ya kuwatoaHabarini wana JF, hope mko gud mnaendelea na harakati za weekend.
Mimi ni mdau wa mobile software na mara zote huwa napenda kushare contents na skills zangu na kujifunza vitu vipya kutoka kwa wenzangu pia.
Napenda hayo yatokee kwa wana tasnia wenzangu ili tuweze kusaidiana, tunaweza kushare roms, tools, repair and unlock contents like efs,qcn,nvm, certs n.k....na tukifika mbali zaidi ili tuweze kushare ujuzi na contents kwenye tasnia..ujuzi, contents na msaada wowote, karibuni tujuzane
tupo pamoja mkuu
Haileti imei yoyote. Ingawa ndani ya simu ukitoa betri, imei namba original ipoukipiga *#06# inaleta imei zipi?
install busy box, root cmu yako then kama una nck box au avenger kuna option ya ku remove malware through adb bt kama cmu iko highly infected hawatotoka so solution hapa ni kuflash cmu(re installation of operating system)... ni aina gani ya cmu iko infected?mkuu samahan kuwa hawa sex virus ambao huwa wanaingia kwenye sim then sim inaanza kudownload app.yenyewe vip namna ya kuwatoa
nina tecno,teeno na x-boinstall busy box, root cmu yako then kama una nck box au avenger kuna option ya ku remove malware through adb bt kama cmu iko highly infected hawatotoka so solution hapa ni kuflash cmu(re installation of operating system)... ni aina gani ya cmu iko infected?
Itel 1453
Ungempa maelezo namna ya kutumia research download maana hzo hazina option ya kuleta menu ya recoverytoa battery kwenye cmu yako then rudisha, bonyeza power button na uishikilie na baada ya kama 3 seconds bonyeza volume down na uishikilie na cmu ikionyesha itel logo achia power na uendelee kushikilia vol down... leta mrejesho nini kimetokea
ok tecno h6 n m3,x-bo v5 na teeno R7 MKUUtecno ziko nyingi mkuu na hata xbo ni nyingi, inapendeza ukitaja jina na model
Mkuu nahitaji stock firmware ya unlocked tecno Y3+ na ya tecno m3 old version kama unazo msaada please!KWA UHITAJI WA ROM YOYOTE, DRIVERS, FLASH TOOLS HASA CRACKS na TUTORIALS JUST ASK AND TUTASAIDIANA WERE POSSIBLE NA MSAADA HAPA NI TOTALLY FREE
Sawa mkuukila cmu ina recovery kaka, shida ni kujua combination ya keys... hyo method nlompa hapo inafanya kazi kwenye SPD nyingi
si sana mkuu vifaa vingi sina pia napenda kuwa na hyo box ambayo ni nzur zaid cjui unapatikana wapi niweze kupata msaada zaid kwakonaamini wewe ni fundi mkuu
Niko Shinyanga, lakini dar naenda kila marawe uko wap?