NMEKUSOMA MZEENayajua yote Siyo km mnabishia ila point yangu ilikuwa ''kitu kilichotengezwa na binadamu kinabadilishika ni suala la muda tu'' Teknlojia inakua hivyo kitu ambacho hakiwezekani sasa muda ukifika kitawezekana tu. Imei ya iphone haiwezekani kubadilishika lkn muda ukifika huenda ikabadilishwa.
Jaribu kuelewa kilichoandikwa. Siyo vyote vinawezekana ila baadhi.
nisaidi link ya ku download software ya kuflash
Naombeni msaada wakuu....
Nina simu aina ya TECNO W5 LITE sasa jioni ya leo niliwasha tochi kwa ghafra simu ikazima ...toka ilipo zima mpaka sasa haijawaka tena....
Naomba kujua tatizo ni nini?
No sevice kila wakati network inakatamaelezo hayajitoshelezi... eleza inasumbuaje!.. ni searching au no service au huwa ikoje?
Inaleta na kupotea networkkwamba huwa inaleta network na wakati mwingine ndo no service? au ni no service muda wote?..
Marshmalow mzee dude litastak hili hili hahaaaaunaweza ukainstall hata marshmallow ila itakuwa ni non oficcial yaani ni custom rom... flash recovery kwa cmu yako then tafuta rom husika na gapps then enjoy ur phone
Ukisikia customized basi ujue kuwa kitu kishakuwa designed na kitu husika
www.simuyangu.co.tzKWA UHITAJI WA ROM YOYOTE, DRIVERS, FLASH TOOLS HASA CRACKS na TUTORIALS JUST ASK AND TUTASAIDIANA WERE POSSIBLE NA MSAADA HAPA NI TOTALLY FREE
Ok bhas naomba unisaidie link ya rom marshmallow kwa hii gt i9300 s3 ....Ukisikia customized basi ujue kuwa kitu kishakuwa designed na kitu husika
Tafuta mtandaoni zimejaaOk bhas naomba unisaidie link ya rom marshmallow kwa hii gt i9300 s3 ....
Sent from my GT-I9300 using JamiiForums mobile app