Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,500
- 8,690
pamoja na touch au display peke yakeWakuu khabari gani.. samahanini kwa kuwa nje ya mada ..mimi nina shida na kioo cha samsung grand prime ..simu yangu imepasuka ilianguka na sikuweka protecta. Hivyo basi naombeni kujua kioo chake kinauzwa bei kwa sasa. Asanteni
Tatizo hilo limekuja baada ya simu kufanyaje? Aidha kuanguka au iliwahi kufunguliwa kwa shida zingine? Na je, umechek uhalisia wa IMEI?wataalamu sorry tecno c8 yang haionyeshi network bars haipigi wala haitumi sms ila inasoma simcard msaada tafadhali
mkuu ni kweli nimepeleka kwa fundi kubadilisha charging system ikarudi hivyoTatizo hilo limekuja baada ya simu kufanyaje? Aidha kuanguka au iliwahi kufunguliwa kwa shida zingine? Na je, umechek uhalisia wa IMEI?
Ok hapo kama waweza mrudishie akuwekee cable ya network vizurmkuu ni kweli nimepeleka kwa fundi kubadilisha charging system ikarudi hivyo
Ni pmHabari wana JF kwa anaejua namna yaku bypass samsung J7 pro without pc anisaidie
Mtumie private messageSamahan mkubw cjakuelew hapa PM
Habari yako mkuu,, simu yangu inanikatalia ku-login Instagram na kuleta huu ujumbe kwenye picha.naweza nkakuelekeza kama hutojali may be twaweza fanikiwa... 0717458447
Hold vol down, home button na power. Ikirud kule ktk emergency mode angalia kama imedetect vzur kama usb moderm.Wakuu nilikuwa na flash twrp kwenye SM-A700F kwa kutumia Odin ikafail.
Inaniletea ujumbe"Firmware upgrade encountered an issue. Please select recovery mode in Kie & try again"
Simu haizimi wala kuingia recovery mode, Download mode inaingia ila ukiconnect kwenye computer haidetect au inaleta ujumbe "USB device not recognized"
Haisomi kwenye Odin wala Kies.
Je nifanyeje iweze kidetect kwenye Pc kama mwanzo ili niiflash kwa Stock ROM?
Maana nimejaribu kwa pc zaidi ya moja na USB driver tofauti Za Samsung but hakuna badiliko.
2991 , drphone na magwiji wengine msaada wenu unahitajika.
Inaleta ujumbe usb device not recognized na kwenye device manager inasomeka kama "Unknown DeviceHold vol down, home button na power. Ikirud kule ktk emergency mode angalia kama imedetect vzur kama usb moderm.
Unatumia window gan?Inaleta ujumbe usb device not recognized na kwenye device manager inasomeka kama "Unknown Device
7 ultimate 32 & 64 bit, windows 8.1 zote zimegomaUnatumia window gan?