Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

Attachments

  • Screenshot_20171205-005425.png
    69.2 KB · Views: 45
Mkuu ni Samsung S6 Edge, Android version6.0.1Android sec patch level

Mkuu Simu yangu ni Samsung Galaxy S6 Edge, Android Version 6.0.1, nimejaribu ku attach screen shot.
 

Attachments

  • Screenshot_20171205-005450.png
    62.7 KB · Views: 38
  • Screenshot_20171205-005438.png
    60.7 KB · Views: 44
  • Screenshot_20171205-005425.png
    69.2 KB · Views: 39
Mkuu ni Samsung S6 Edge, Android version6.0.1Android sec patch level

Mkuu Simu yangu ni Samsung Galaxy S6 Edge, Android Version 6.0.1, nimejaribu ku attach screen shot.
ok nikumbushe kesho nikitafutie gapps na twrp recovery kisha nitakupa maelezo mengine inshaallah
 
Naomba kuunganishwa katika group. la whatsapp kama lipo 0744376490
 
Pitia kila page sikumbuki page gani ila utaona link, click hapo moja kwa moja utajikuta umeshazama whatsapp
Ahsante mkuu nimeipata nimeshajiunga
katika software vp lipo group la hardware
 
Ahsante mkuu nimeipata nimeshajiunga
katika software vp lipo group la hardware
Usijali
Hardware sijajua mkuu. Jaribu kuangalia kweny thread ya mafundi simu upande wa hardware unaweza pata.
Nafikiri hata humu pia km sikosei walitoa link ya software na hardware. Hebu jaribu kupitia page ya kwanza mpaka mwisho unaweza kuikuta.
 
Msaada wenu tafadhari, Nina simu ya tecno l5 Tatizo lake ni kustack na kuzimika baada ya mda mfupi, baadae tena ina jiwasha na kuishia kwenye logo ya tecno.. Uki piga piga kidogo inawaka kama kawaida, lakini ukitumia tumia tena ina stack, mwendo unakua huo huo.... Kitu kingine inachemka sana... Tatizo nini hapo
 
Pitia kila page sikumbuki page gani ila utaona link, click hapo moja kwa moja utajikuta umeshazama whatsapp
ila huku wanakuja watu wazuri na mapasua.mtu anaba msaada kwa group aujui ata kuisoma chipset huu ni uduwanzi
 
pia yaweza kuwa upande wa simu inapoingia usb
Hapana mkuu tatizo limekuja baada ya mgonjwa kutema dawa!!!
Kabla ya hapo ilikuwa inasoma fresh tu hata ukiangalia maelezo niliflash firmware Bila shida ila ikabuma wakati naflash twrp recovery.
 
Ila inategemea na ulichouliza, ulivyouliza na aina ya tatizo na solution yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…