Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,713
- 9,321
Kwenye site yako matangazo uliyoyaweka ni kero sana. Nimeingia mara 3 tu sidhani km nitarudi tena kwasbb ya matangazo. Baadhi ya program unacharge hela km nck samsung crack, ir-hkey hizi baadhi na kwa kero za matangazo nimenyoosha mikono. Utoe hela na bado matangazo iwe kero (hayo matangazo uliyoweka ni kero sana).mzee unataka kila kitu upate kwenye crack??, nunua box... umetaja invalid but hujanambia ni cmu gani na hujanambia hyo miracle ni version ipi
Kwa hyo hzo button ndio umefanya zikapatikana au umefix vipi?Sawa mr.
Nishafix kila kitu mr kwa miracle box crack. Hizo button mbili zilizomiss za miracle box imei (power off), na imei (power on) nimeshazifix.
Thanks anyway
hakuna program inayouzwa kwanza.. ninachouza on my site ni some exclusive files, latest mtk and spd phones unlocked firmwares na certs only.. all cracks and tools are totally free n hyo nck samsung tool nlishapost its passwords.. kuhusu ads ntalifanyia kazi na ntaachana propeller maana wana hadi porn ads hawa jamaa...KARIBU TENA MZEE, good and exclusive stuffs everydayKwenye site yako matangazo uliyoyaweka ni kero sana. Nimeingia mara 3 tu sidhani km nitarudi tena kwasbb ya matangazo. Baadhi ya program unacharge hela km nck samsung crack, ir-hkey hizi baadhi na kwa kero za matangazo nimenyoosha mikono. Utoe hela na bado matangazo iwe kero (hayo matangazo uliyoweka ni kero sana).
Ungekuwa unatembelea sites zingine ingekusaidia kuboresha site yako. Umenifanya mpaka nimepata site ambayo kila kitu ni free. Ni kuwa na bundle tu vyote ulivyoviweka kule ni buree kbsa na nimepakua mzigo wa maana.
N.B
Umeweka propeller ads, jitahidi karibia kila kitu kiwe free ili upate watambeleaji wengi sbb hayo matangazo ni nuksi zaid ya nuksi. Mwenyew nimekoma kuingia kweny sites ingekuwa ni free ningejitahid kila siku niingie lkn mh. Hata nck samsung box crack nayo ni hela? Nipe password zake mr
Hapo itakuwa poa sana. Propeller zinaziba hata kitufe cha kudownload.hakuna program inayouzwa kwanza.. ninachouza on my site ni some exclusive files, latest mtk and spd phones unlocked firmwares na certs only.. all cracks and tools are totally free n hyo nck samsung tool nlishapost its passwords.. kuhusu ads ntalifanyia kazi na ntaachana propeller maana wana hadi porn ads hawa jamaa...KARIBU TENA MZEE, good and exclusive stuffs everyday
tuko pa1 mzeeHapo itakuwa poa sana. Propeller zinaziba hata kitufe cha kudownload.
Usisahau na kuweka password ya IR-HKEY htc.
Kiufupi ifanye site yako km kijiwe cha kutatulia matatizo ya simu mbali mbali niliipenda sana ile ya kutambua chipset km ni mtk, spd
Tupo pamoja mr
Mr search button siioni kweny blog yako. Mwanzoni nilikuwa naiona lkn sasa hivi haipo. Jitahidi uweke mrtuko pa1 mzee
Mr NCK SAMSUNG crack zijapata folder password. Nimetafuta kadri niwezavyo lkn mpaka sasa sijapata. Uliniambia utaweka lkn naona bado, nimejaribu ile inayoishia SA lkn wapi. Km kuna uwezekano naomba password yake na pia ya IR-HKEY.ngoja niicheki.. bt niko on my pc inaonekana vema labda cjajua kwenye mobile devices
Ishu iko hapo ulivyobadili heading na kusomeka "Tunafanya flashing , unlocking na repair kwenye simu" hiyo repair ni specific kwa software tu au na hardware? Hukusema b4hizo ni hardware issues mzee, hapa ni software pekee
Aisee....Nina HTC hd7...haisave contact za watu....haifungui SMS.....email....Bluetooth.... WiFi.... Kiufupi ni useless isipokuwa kupiga na kuingia internet.... Ni windows 7 phone....unaweza kuiunlock?....Pleaseeee.......naona mafundi wengi wamechemka.....Habarini wana JF, hope mko gud mnaendelea na harakati za weekend.
Mimi ni mdau wa mobile software na mara zote huwa napenda kushare contents na skills zangu na kujifunza vitu vipya kutoka kwa wenzangu pia.
Napenda hayo yatokee kwa wana tasnia wenzangu ili tuweze kusaidiana, tunaweza kushare roms, tools, repair and unlock contents like efs,qcn,nvm, certs n.k....na tukifika mbali zaidi ili tuweze kushare ujuzi na contents kwenye tasnia..ujuzi, contents na msaada wowote, karibuni tujuzane
win7 has got lots of bugs mzee, ngoj nicheki kama inaweza pokea any update then ntakujuzaAisee....Nina HTC hd7...haisave contact za watu....haifungui SMS.....email....Bluetooth.... WiFi.... Kiufupi ni useless isipokuwa kupiga na kuingia internet.... Ni windows 7 phone....unaweza kuiunlock?....Pleaseeee.......naona mafundi wengi wamechemka.....
Okay poa....Fanya kweli basiwin7 has got lots of bugs mzee, ngoj nicheki kama inaweza pokea any update then ntakujuza