sasa km cmu ina bootloop ulitaka uhamishe data btn cmu na Pc kwa mazingira gani?.. Inatakiwa uflash hyo cmu yako, km uko smart enough unaweza jaribu mwenyewe bt kuepuka risks and time saving peleka watu wenye ujuvi na hizo kazi
Hapana mkuu siyo suala la data transfer ni masuala ya kuiflash ndo nimewapelekea mafundi wenyewe waiflash ikawa haiwi detected kwa maana computer haiitambui sijui kama umunielewa mkuu.ckuwa nmemuelewa kwa maelezo yake.. alisema akiconnect cmu kwenye computer haisomi ili afanye data transfer. Abadilishe kale ka plate cha chini chote na akifail bac custom rom ndo his last option
Sasa nifanyaje mkuu , napatikana Arusha.hawakutaka kujiongeza
hapo nmekuelewa vema.. Una option ya kubadilisha hyo usb slot ya cmu yako au kutoa hyo partition yote inayobeba usb slot, microphone and vibrator then wajaribu kuiflash tena na kama itashindikana kabisa bac toa hyo circuit yako then iwekwe kwenye body nyingine then zoezi liendeleeHapana mkuu siyo suala la data transfer ni masuala ya kuiflash ndo nimewapelekea mafundi wenyewe waiflash ikawa haiwi detected kwa maana computer haiitambui sijui kama umunielewa mkuu.
Watu wengine tuna vichwa vigumu kama hutojali nielekeze hatua kwa hatua.hapo nmekuelewa vema.. Una option ya kubadilisha hyo usb slot ya cmu yako au kutoa hyo partition yote inayobeba usb slot, microphone and vibrator then wajaribu kuiflash tena na kama itashindikana kabisa bac toa hyo circuit yako then iwekwe kwenye body nyingine then zoezi liendelee
Mungu wangu!!!!![emoji15] [emoji15] [emoji15]ili uweze kuflash custom rom ni lazima kwanza uflash twrp ambapo usb connection inahitajika
Ina maana ndo niitupe au ? Sasa ya kazi gani?.ili uweze kuflash custom rom ni lazima kwanza uflash twrp ambapo usb connection inahitajika
Sawa mkuu.badilisha hyo usb slot kwenye cmu yako au hyo plate yote
Umeiflash mwenyewe au ni fundi kaflash na je hiyo ni simu aina gani na model ganNaombeni msaada sim yang ina stuck mara kwa mara na imekuwa nzito
Niliflash pamoja na kufany factory reset lakin tatiz lipo pale pale