Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

Msaada
Tatizo: Not registered on network
Simu: S6 Edge
Imei za simu ninazo.
Screenshot ya Tatizo hii hapa
 
Vp. iphone 6 plain refurbished
Inagoma kupita kwenye inadema fail to connect with the sever activation
 
Haitaji msaada huyo zaidi ya kuleta ujuaji,yy anaona ni task easy sana ss mwache apambane na hali yke tu.
Sorry chief. Kama unakereka na majibu yangu ila sijaleta ujuajua kama unavyosema. Najua tumepisha Pm kwa kutaka malipo
 
Wadau habari,nina OXE BEGIN 101 inaishia kwenye "OXE" tu,anayeiweza ajitokeze.
Pia nahitaji betri ya Magnus Bravo Z10.
Pia kioo cha Magnus Bravo Z11 kinahitajika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…