Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

Kuna baadhi ya itel hazina recovery
sipingani na wewe ndugu bt lengo ni kuelekezana ndo dhumuni kuu la huu uzi... kwa mfano itel ipi uliwahi kukutana nayo ukiachana na zild oldest models za 13....
 
inahitaji network connection, ila kuepusha usumbufu ngoja nicheki uwezekano wa ku upload file 4shared au google drive then nipost link hapa
Ok poa mkuu fanya hivyo.
 
Na vp kuhusu chimera tool, unayo crack yake?
chimera hapana, bt hata kama itapatikana naamini itakuwa iko so limited maana yenye operations zake nyingi naona zinahitaji server credits for activations... unahitaji chimera kwa operations zipi?
 
sipingani na wewe ndugu bt lengo ni kuelekezana ndo dhumuni kuu la huu uzi... kwa mfano itel ipi uliwahi kukutana nayo ukiachana na zild oldest models za 13....
Sijasema kwa nia mbaya kaka, sikumbuki exactly model ila nishakutana na itel mbili hazina recovery, nikafanya research yangu kwenye Google, nikakuta kwenye forums mbali mbali watu wengi wamekumbana na hilo tatizo
 
Me napenda kujua unlocking vinokia obama mnatumia box gani
unahitaji UFS/HWK, INFINITY, PHOENIX, ATF n.k... na katika cmu mbaya ni hizo nokia SL3/SL4 maana nyingi kama cyo zote ni lazima ufanye connection thru box
 
Ushawahi sikia watu wako ndani au wana kesi za kujibu
 
na hata TCRA watakukamata utakapofanya imei change.. imei repair to original factory imei cyo kosa.. wanachokataa ni pale ambapo cmu husika ni kwamfano tecno boom j7 then imei zake zisome samsung e1205 asee hapo wakikushika umekwisha
Nikuulize swali.kabla aujakamatwa .hivi Simu mf.samsungu gt-i9300.nimebadisha housing IMEI ipi inatambulika happy.baada ya muda Simu inasumbua inazima na kuwaka naweka firmware mpya hapo inakuja imei 0000094000.utafanya repair ipi.kwa wastani tuache hi kazi tuangalie mambo mengine aitufai ndugu.MTK SPD
 
True z3x pro inayo card sigmar key.miracle 2
 
kazi za kubadili IMEI ndugu mim huwa sizifanyi kabisaaa maana unaweza ukamuamini hata mtu wako wa karibu then akakuchoma, ukishaona tu kazi haieleweki eleweki bora uachane nayo maana unaweza ukajikuta elf10 tu imekuponza unaishia pabaya..
 
Gsmhosting au almaarufu gsmforums ndio huko walikoanzia mjadala wa kusitisha free solution na zaidi walisema free solutions zitabaki kwenye server maalum kutegemea na box ulilonalo, kwa mfano volcano na gpg wanayo server ya download file ambapo muda si mrefu utaweza kudownload kitu kwa kuingiza user name yako ambayo itakuwa ni serial number ya box lako. Sigmakey nao tayari wanayo server ambayo mpaka ulipie ndio upate access ya kudownload files
 
Mimi yangu ni tecno Y6 iko infested inadown load apps yenyewe na kufuta masage na chats pamoja na contacts. Pia inapoteza network.

Now inasema no sim card detected. Hilo tatizo nali solve vipi mkuu. Sina utaalam wowote wa soft ware.

Msaada wa haraka wakuu unahitajika haraka. Hiyo simu nimeitumia kwa miaka mitatu
 
hopeful unajua kuwa ni websites na blogs nyingi saaaaaaana zinafanya free sharing na mim niko mbioni kuanzisha my website for free sharing.. sasa hizi zote watazishut down or itakuwaje?, lets say watashut down.. mim nimefungua my web thru wordpress na nikanunua domain huko na nikafanya hosting.. wanashut down my web page kwa idhini ya nani?, na mim ntadili na wordpress coz wenyewe ndo wanahost my web, ba swali linakuja, je those web hosts watakubali kupoteza clients wao?..
 
KUMBUKA..SHARING IS CARING
 
Sorry wakuu natumia simu aina ya samsung j4 ila kila mara inaniambia niupdate software..sielewi ni kitu gani japo nilijaribu kuupdate ikakubali baada ya muda ikaniletea notification ya kuapdate tena
Swali..kuapdate hiyo software itanipa faida gani?
Je nisipofanya update simu yangu itafanyaje..
Pia muda mwingine nikiwasha data huwa inakata mawasiliano (network service kwa muda mfupi)kwa laini zote mbili(coz hii simu ni ya lain mbili) nifanyaje wakuu
 
Samsung account ya note 4s bado ni issue ngumu ku bypass reactivation lock hata z3x pro na octoplus haziitoi hiyo. So sio iphone tu ndio Amazon hazitoki
 
SAMSUNG FRP & SCLOUD PASUA KICHWA TARAJIWA

TUWEKEZE KWENYE VITENDEA KAZI TUACHE VYA BWELELE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…