Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

unahitaji UFS/HWK, INFINITY, PHOENIX, ATF n.k... na katika cmu mbaya ni hizo nokia SL3/SL4 maana nyingi kama cyo zote ni lazima ufanye connection thru box
Ahsante mkuu, na cable zake nzuri za uhakika nazipata wapi
 
Mkuu 2991 nina simu samsung galaxy S4 (GT-I9500) tatizo lake ukijaribu kupiga namba inasema 'Not registered on network'. Nimejaribu njia kadhaa ikiwemo kuflash lakini bado ipo hivyo hivyo na IMEI yake ipo sawa. tatizo nini?
 
Wakuu kuna huawei y530 ipo locked kwenye tigo,sasa hakuna crack itayonisaidia kutoa lock? Nina nck cracked ila hii sim sio mtk ndio shida

Msaada wakuu
 
Computer yangu nikiwasha inaandika WINDOW WILL EXPIRE SOON" Vp kuna njia ya kusolve bila kupiga window.
 
Mkuu 2991 nina simu samsung galaxy S4 (GT-I9500) tatizo lake ukijaribu kupiga namba inasema 'Not registered on network'. Nimejaribu njia kadhaa ikiwemo kuflash lakini bado ipo hivyo hivyo na IMEI yake ipo sawa. tatizo nini?
chukua hzo imei zinazotokea ukipiga *#06# then uzitume to 15090... na je hizo imei zinazotokea hapo ni sawa na zilizopo nyuma kwenye sticker ukitoa battery?
 
Wakuu kuna huawei y530 ipo locked kwenye tigo,sasa hakuna crack itayonisaidia kutoa lock? Nina nck cracked ila hii sim sio mtk ndio shida

Msaada wakuu
530 ina chipset ya qualcom, kwenye nck inatoka thru main module na huwezi pata crack ya main module coz ndo module mama
 
Ahsante mkuu, na cable zake nzuri za uhakika nazipata wapi
kabla ya kufikiria cable yakupasa uwe na box mojawapo kati ya hayo nlokutajia coz hata ukitumia crack ya BEST itakupasa ufanye connection thru UFS/JAF n.k kwa hzo cmu ambazo hazina usb interface... cable ziko nyingi sana
 
SAMSUNG FRP & SCLOUD PASUA KICHWA TARAJIWA

TUWEKEZE KWENYE VITENDEA KAZI TUACHE VYA BWELELE
nakuunga mkono, had leo cjaonaga crack yenye uwezo wa ku bypass reactivation lock na hata samsung models nyingi za 2016 frp huwa ni utata hadi upate box inayojielewa na hapa all credits goes to BST DONGLE na hakunaga crack ya hii kitu.. all in all, huwezi kjwa fundi makini kwa kutegemea crack au box 1
 
Mkuu 2991 nina simu samsung galaxy S4 (GT-I9500) tatizo lake ukijaribu kupiga namba inasema 'Not registered on network'. Nimejaribu njia kadhaa ikiwemo kuflash lakini bado ipo hivyo hivyo na IMEI yake ipo sawa. tatizo nini?
imei ipo blacklisted
 
Mkuu jibu nililolipata ni kwamba
simu imefungiwa japo kila kitu kipo sawa.
chukua hzo imei zinazotokea ukipiga *#06# then uzitume to 15090... na je hizo imei zinazotokea hapo ni sawa na zilizopo nyuma kwenye sticker ukitoa battery?
 
tiki
 
reactivation kuna mchawi wangu BST DONGLE, hataki masihara kabisa huyu jamaa.. jana tu nimepga g920f reactivation...
Nitainunua nione ila mkuu tafuta samsung note 4s ujaribu ku unlock SCLOUD ili nipate uhakika kabla sijanunua
 
Nitainunua nione ila mkuu tafuta samsung note 4s ujaribu ku unlock SCLOUD ili nipate uhakika kabla sijanunua
kupitia BST DONGLE nlishatoa note3 reactivation, s6 n.k we katafute then utakuja kunambia mkuu ni ka ukweli mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…