JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,381
- 9,744
Hii ni Diagnosis ambayo inacover mifumo yote ya gari yako tofauti na OBD2 ambayo kwa mashine nyingi huwa inacover tu faults za engine japo ilitakiwa kucover power train yote(Yaani Engine na Automatic gearbox).
Hapa chini nimescreenshot baadhi tu ya mifumo ambayo inakuwa covered na Fully system Diagnosis japo list ni ndefu na inaendelea huko chini. 👇👇👇
Lakini pia kama gari yako ina matatizo na haijaonesha code yoyote tunaweza kupitia Live Data. Live Data huonesha performance ya sensors, Valves na components mbalimbali kwenye gari yako. Hivyo inakuwa ni rahisi kuona kama component fulani inafanya kazi chini ya kiwango.
Pia kwa baadhi ya matatizo ya Gearbox yanaweza kuonekana kupitia live Data za Solenoid valves na sensors.
Mfano hivi ni baadhi ya vitu vya engine ambavyo unaweza kuona live Data zake.
Pia hivi ni baadhi ya vitu vya Automatic Gearbox ambavyo tunaweza kuona Live Data zake.
Pia Kulingana na kwamba kwamba sasa hivi magari yamekuwa na mifumo ya kisasa. Kuna mifumo ambayo matatizo yake ni ya Software hivyo solution yake haihitaji kubadili chochote zaidi ya kurelearn au kureset. Hivyo kwa sasa hivi tumeanza na matatizo kadhaa ambayo yanaweza kufanyiwa relearn na yakatatulika. Matatizo hayo ni
1. Gari kutotulia sailensa na valve au motor ni nzima.
2. Matatizo yote ya Automatic gearbox yanayohusu kubadilika kwa gear( kuchelewa, kushtuka, kukosa gear, n.k.)
3. TPMS reset
4. Kureset steering angle kwa gari zenye EPS.
5. System zingine kama EPB, Traction control n.k.
Kama una swali lolote karibu.