passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,881
- 13,096
Leo ndiyo mwisho wa MuunganoYaani baada ya kushugulikia kiini hasa ya maandamano tarehe 29 report imejikita kumsafisha muuji Samuya.kwa sababu mmekataa kushugulikia kiini cha matatizo basi jiandaeni zaidi .This is Nonsense
Wewe ni mjinga yake yalikuwa ni maandamano ya kuwatoa marahamia kwenye serikali ambayo yanaua,yanaiba na kuwalawiti watu kwa sababu mmelaaniwa lazima mfe na mtoke hapo Tanzania sio yenu.Wajinga lazima mjute kwa nn mlifanya vurugu
SureLeo ndiyo mwisho wa Muungano
Mkimbizi yule unataka awe Rais labda sisi tujitenge ila chadema hatuwezinkukubali kuongoza hii nchWewe ni mjinga yake yalikuwa ni maandamano ya kuwatoa marahamia kwenye serikali ambayo yanaua,yanaiba na kuwalawiti watu kwa sababu mmelaaniwa lazima mfe na mtoke hapo Tanzania sio yenu.
Sure amepoteza heshima yake.mzee anajitia aibu tu
Hii sio report bali mradi wa kujisafisha.mambo aliyo yasema mtuhumiwa kwa siku 2 kujua vyanzo matatizo ila tume imetumie miezi kadhaa na posho juu
sasa kulikuwa na haja gani ya tume ikiwa idi amini aliyajua haya mapema kabisa
yote kumfurahisha mtawalaSure amepoteza heshima yake.
wanajidanganya watu ukweli wanaujua hiyo report haina maana yoyote kwa watu wenye akiliHii sio report bali mradi wa kujisafisha.
Yeye si ndiye aliyeiunda?Yaani baada ya kushugulikia kiini hasa ya maandamano tarehe 29 report imejikita kumsafisha muuji Samuya.kwa sababu mmekataa kushugulikia kiini cha matatizo basi jiandaeni zaidi .This is Nonsense
Samia alishakiri hadharani kuwa ndiye muhusika mkuu wa mauaji huku akisisitiza kuwa mauaji Yale yalikuwa ni ya lazima, huu uchoko wa Chande na wenzake hasafishiki chochote zaidi ya kutonesha vidonda vya Watanganyika.Yaani baada ya kushugulikia kiini hasa ya maandamano tarehe 29 report imejikita kumsafisha muuji Samuya.kwa sababu mmekataa kushugulikia kiini cha matatizo basi jiandaeni zaidi .This is Nonsense
Sure hasafishikiSamia alishakiri hadharani kuwa ndiye muhusika mkuu wa mauaji huku akisisitiza kuwa mauaji Yale yalikuwa ni ya lazima, huu uchoko wa Chande na wenzake hasafishiki chochote zaidi ya kutonesha vidonda vya Watanganyika.
Hivi kweli kabisa ulitegemea nini hapo kwenye kesi ya kima hakimu ngedere?Yaani baada ya kushugulikia kiini hasa ya maandamano tarehe 29 report imejikita kumsafisha muuji Samuya.kwa sababu mmekataa kushugulikia kiini cha matatizo basi jiandaeni zaidi .This is Nonsense