Tunafanya moto rewinding, kusuka na kufanya repairing motor na vinu vya jenereta

presider

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2013
Posts
1,320
Reaction score
1,738
Sisi wa watalaam wa kusuka motor zozote kuanzia 1horse power hadi 1000horse power. Pia tunasuka vinu vya Generator kuanzia 5kva to 2000kva. Offuce ipo Tabata Relin. Tuna wakaribisha company, Taasi yoyote pamoja na watu binafsi
Karibuni sana






0693296809
 

Attachments

  • 20250216_175143.jpg
    581.8 KB · Views: 2
  • 20230421_182837.jpg
    334.2 KB · Views: 1
Duh,mimi bwana nina mota ya 2950 rpm na 11kw mota ni ya aluminium windings,tatizo inapatq sana moto mpaka inaanza kutoa moto shida yaweza kuwa nini
Wire zmemelt( wire znagusana ) ndani.
Solution yake n
1. Kusuka upya kwa wire za copper
 
Wire zmemelt( wire znagusana ) ndani.
Solution yake n
1. Kusuka upya kwa wire za copper
Nini kinafanya zimelt japo ilinunuliwa miaka kumi nakitu iliyopita haikuwahi kufanya kazi tulipoanza tu kuitest ili ianze kufanya kazi ndio hiyo shida ikagundulika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…