Madirisha ya nyumba yako yamechakaa, sakafu imechakaa, masofa na viti vimechafuka havitamaniki.
Unataka kuhamia nyumba mpya lakini stress ni kua nyumba ni chafu sana hujui uanzie wapi.
Karibu 0699728254
Tunafuata mteja hadi mikoani.
Tunafanya
Usafi maofisini, majumbani na jengo jipya kabla ya kuhamia
Usafi sehemu za biashara
Usafi kwenye kumbi za sherehe, mikutano na sehemu za ibada
Usafi wa sakafu aina zote
Usafi wa vyoo na bafu
Usafi wa madirisha
Usafi wa fanicha
Kufua na kupiga pasi nguo
Kufua mazulia na makanyagio
Kutunza bustani na maua
Kuondoa kunguni na mende
Usafi wa mashamba na viwanja
Karibuni Sana
Tunapatikana Mwanza- Capripoint
Usafi maofisini, majumbani na jengo jipya kabla ya kuhamia
Usafi sehemu za biashara
Usafi kwenye kumbi za sherehe, mikutano na sehemu za ibada
Usafi wa sakafu aina zote
Usafi wa vyoo na bafu
Usafi wa madirisha
Usafi wa fanicha
Kufua na kupiga pasi nguo
Kufua mazulia na makanyagio
Kutunza bustani na maua
Kuondoa kunguni na mende
Usafi wa mashamba na viwanja
Tunapatikana Mwanza, mikoani tunakuja
Karibuni Sana
Usikae na kuta chafu, madirisha machafu, ofisi chafu vigae vimefubaa na kua vyeusi, wadudu watambaao na warukao nyumbani kwako, ofisini kwako au eneo lako la biashara.
Kazi zangu ni safi na uhakika
0699728254
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.