Haa haa haa[emoji23]Mchawi wako nyege zako mwenyewe. Sasa endelea kuhalalisha uasherati wako kwa mke wa mtu kwa kisingizio cha kuhisi umerogwa, uishie kurogwa kweli uwe kama chizi ukaombe papa mbele ya mumewe ambae nae kesharogwa uishie kufumuliwa rinda.
Tupe ushuhuda mkuuUmenikumbusha mbali
Hii ni kweli kabisa .....
Kuna gruop la watsaap la wamama nillingia kinyamela ili kukamilisha research yangu........Kama CIA m.bobezi
Aiseee Mambo ambayo wamama wanashauriana humo...kuhusu Mambo ya kuwafunga wanaume.....ni hatari tupu......ukiona unaweza ....kimbia jukumu la kuoa
Wanaume ....maombi kwa MUNGU ni muhimu
Ni stori ndefu mkuuTupe ushuhuda mkuu
Tupe uzoefuSiku hizi hata wanawake tunarogwa sana, wanaume mnaroga nyie mmh!!!
Watu wanaishi kwa timing.Siku hizi hata wanawake tunarogwa sana, wanaume mnaroga nyie mmh!!!
Ifupishe kuliko kutunyima kabisa..πNi stori ndefu mkuu
Jinga kabisa wewe..πMrogwee tu, kuna wanaume wanastahili hayo.......nakazia mrogweeeeee[emoji41]
zamani wanawake ndio walikua wanafanya hayo, siku hizi ni timing na wanaume wapo kasi karibia wataongozaWatu wanaishi kwa timing.
Hatari sanazamani wanawake ndio walikua wanafanya hayo, siku hizi ni timing na wanaume wapo kasi karibia wataongoza
Tumechoka kulogwa alaf tukafanywa kama mazuzu ndani, so tukiona hatukuelewi tunakuwai kabla ujatumaliza. Hio inaitwa self-defenseππzamani wanawake ndio walikua wanafanya hayo, siku hizi ni timing na wanaume wapo kasi karibia wataongoza
Tumeamua Kama mbwai iwe mbwai..π€£zamani wanawake ndio walikua wanafanya hayo, siku hizi ni timing na wanaume wapo kasi karibia wataongoza
mnatunyoosha πππTumeamua Kama mbwai iwe mbwai..π€£