Moja bei gani mkuu?Kipndi cha baridi hiki,mfugo wako asiteseke,tunafuma na kuuza masweta yao kwa bei nafuu. Mikoani pia tunatuma kwa bei nafuuView attachment 1806876View attachment 1806877View attachment 1806878View attachment 1806879
Kwenye kumvisha sijui inakuwaje!Wakati wa baridi analala tu hazururi sana😂😂
Ndio mmea gani huo?Siku hizi kuna hadi sweta za mjulubeng! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
Mjegejeo chief!Ndio mmea gani huo?