Home tuition services
Member
- Aug 30, 2023
- 86
- 116
Habari ya asubuhi Waungwana, Poleni na Hongereni na Mapambano, Kwa wale wazazi, ndugu pamoja na Jamaa ambao wanahitaji watoto wao kufundishwa nyumbani (Darasa la 1 mpaka wale wanaosoma Vyuo vikuu hasa open) mitaala yote yani Cambridge, Necta, International nk.
Tunatoa huduma ya twisheni Majumbani, hasa kwa wale watoto ambao ni wazito yaani (beginners) pamoja na waliochelewa kuzungumza yaani (late articulators) Tunawasaidia kwa ukaribu.
Gharama ni nafuu sana. Ofisi zipo Magomeni Mapipa ghorofa ya 2 opposite (Magomeni mapipa kituo cha mwendokasi.). Mawasiliano 0743567159 . huduma hii inapatikana mikoa yote ya Tanzania Bara pamoja na visiwani. Karibuni sana.
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app