INAUZWA Tunafunga CCTV kwa usalama wa eneo lako

INAUZWA Tunafunga CCTV kwa usalama wa eneo lako

BANGO JEUPE

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2015
Posts
3,079
Reaction score
2,152
Tunauza vifaa mbalimbali vya ulinzi.

Pia tunafanya installation kupitia simu yako hii itakufanya uweze kupata taarifa hata ukiwa mbali na eneo lako.

Tuko DAR ES SALAAM KARIAKOO Faya

Mikoani pia tunafika

CALL +255718295182, +255753254562
8aa0c550e1885ea72a9b37d5cd3f30db.jpg
 
Kiwango cha chini kabisa ni Laki 9

Hii laki 9 inakuwa na vufaa gani?

Full set vifaa vyote chief
Asanteni kwa kazi ya ujasiliamali wenye manufaa kwa jamii,
ila naona kwa mtiririko wa maswali yaliyoulizwa,majibu yako badala ya kunisaidia yamenipa swali tena,
Ingependeza ueleze hiyo full set inakuwa na kamera ngapi?ukiachilia main components,hapo utatusaidia.
au utuambie gharama ni moja yenye vifaa vinavyofanana ila tofauti yake ni ubora?
nadhani ukijibu kwa mtindo huo nitaridhika. Asante.
 
Huwa nafikiri ni matajiri wakubwa wenye kuwa na vifaa hivi majumbani mwao kumbe hata mimi naweza kuweka kwenye banda langu, asante mkuu ngoja tujipange
 
Back
Top Bottom