BANGO JEUPE
JF-Expert Member
- Nov 21, 2015
- 3,088
- 2,174
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Na huku mikoani kama Mwanza hapa tunao pia,tunapata huduma
Tunavyo chiefVipi vifaa vya electric fence mnavyo
Sawa mzeeNa huku mikoani kama Mwanza hapa tunao pia,tunapata huduma
Kiwango cha chini kabisa ni Laki 9Hebu tusaidie kudadavua viwango vya gharama hadi inafungwa ndani
Hii laki 9 inakuwa na vufaa gani?Kiwango cha chini kabisa ni Laki 9
Full set vifaa vyote chiefHii laki 9 inakuwa na vufaa gani?
Asante mkuu, ila ingependeza kama ungeorodhesha vifaa vyote vya full set itapendeza sana kwa sisi tuaiojua. Mfano: camera ngapi, etc.Full set vifaa vyote chief
Kiwango cha chini kabisa ni Laki 9
Hii laki 9 inakuwa na vufaa gani?
Asanteni kwa kazi ya ujasiliamali wenye manufaa kwa jamii,Full set vifaa vyote chief
Hahahahaha watu mna manenoNa huku mikoani kama Mwanza hapa tunao pia,tunapata huduma
Kuanzia kamera nne hadi kamera 16 chiefSet inakuwa na camera ngapi mkuu??
Hii laki 9 inakuwa na vufaa gani?
Mkuu mimi sio muuzajiUngetuwekea gharama za Vifaa na instillation kwa ufafanuzi zaidi