Tunafunga electric fence katika nyumba binafsi,hoteli,viwanda,migodi

Tunafunga electric fence katika nyumba binafsi,hoteli,viwanda,migodi

Joined
Apr 29, 2016
Posts
49
Reaction score
68
Tunafunga electric fence ktk nyumba binafsi,hoteli,viwanda,migodi nk....

Fensi hii ya umeme inatumia machine maalum kupeleka umeme ktk fensi.

Machine hiyo hutunza umeme ili endapo umeme ukikatika usiku basi fensi iendelee kua na umeme kwa ajili ya ulinzi husika wa nyumba.

Waya wowote ukikatika au kukatwa na wahalifu kwa mbinu yoyote basi machine hutambua na kupiga king'ora mda wote kuashiria kuna tatizo ktk fensi.

Fensi hata mwizi akipgwa shoti usiku basi na king'ora kitalia mfululizo kuashiria kuna tatizo mpk uamke na kuizima.

Gharama ya ufungaji hutegemea na gharama ya vifaa husika kwa wakati huo kwa sababu vitu hupanda bei au kushuka kulingana na mabadiliko ya kodi ndani ya nchi.

Tunapima fensi kulingana urefu ktk mita za upimaji.

Kwa sasa gharama huanzia 21,000 adi 24,000 kwa urefu wa mita1 ktk fensi mfano urefu wa fensi ni mita kumi basi zidisha mara bei husika.

Pia tunafunga cctv camera ktk nyumba,ofisi,manuka,hoteli,viwanda,migodini nk....
Kwa maelezo call/whatsapp 0746373222. AU Check on platforms.

Instagram; gordon_technology

Facebook; Gordon Technology

Tiktok; Gordon Technology

Twitter(x); GORDON TECHNOLOGY
 

Attachments

  • IMG-20240417-WA0062.jpg
    IMG-20240417-WA0062.jpg
    53.6 KB · Views: 1
  • IMG-20240809-WA0019.jpg
    IMG-20240809-WA0019.jpg
    100.6 KB · Views: 1
  • IMG-20240805-WA0006.jpg
    IMG-20240805-WA0006.jpg
    12.9 KB · Views: 1
  • IMG-20240811-WA0000.jpg
    IMG-20240811-WA0000.jpg
    108.6 KB · Views: 1
  • IMG-20240810-WA0036.jpg
    IMG-20240810-WA0036.jpg
    73.3 KB · Views: 1
  • IMG-20240316-WA0124(1).jpg
    IMG-20240316-WA0124(1).jpg
    80.5 KB · Views: 1
  • IMG-20240805-WA0020.jpg
    IMG-20240805-WA0020.jpg
    99.4 KB · Views: 1
Back
Top Bottom